All Africa Games 2015-Twiga Stars yalala 1-0 dhidi ya Ivory Coast

bemg

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2010
Posts
2,799
Reaction score
643
Jioni ya leo timu ya taifa Twiga stars imefungwa goli moja kwa bila na timu ya Ivory coast katika michezo ya All

Africa Games.Kipindi cha kwanza Twiga stars walicheza kwa kuelewana na kulitia kashikashi lango la timu pinzania

lakini bahati haikuwa yao na refa aliwanyima penati ya wazi.Hadi mapumziko timu zote zilikuwa 0-0.Kipindi cha pili

IvoryCoast walikianza kwa nguvu na dk ya 65 walifunga goli pekee.Pamoja na matokeo hayo twiga stars walimiliki

mpira kuzidi wapinzani wao nakasoro zilizojitokeza na umaliziaji wa mipira ya kross.





Mungu ibariki Twiga stars mechi inayofuata.
Mungu ibariki Tanzania
 
Up date za game nyingine za twiga vp au ndo wamefungasha virago???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…