All IMF online data is free of charge to everyone, Starting January 1, 2015

Halafu mikataba ya TZ bado siri tu!
 
Hata mshahara wa rais (katika karne ya 21) kwetu bado ni siri!

Na bado utasikia watu wanaikandia IMF is the devil etc, wakati imeizidi serikali yetu kwa uwazi.

Mshahara wa rais unasemwa kwa kukisiwa kutokana na matamko yasiyo rasmi yaliyotolewa kwa mbinde fupi za watu wasiofuatilia!

Na hata huo si wa uhakika sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…