All men are the same they just........?!

All men are the same they just........?!

Safety last

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2011
Posts
4,236
Reaction score
1,411
Ni kweli haya maneno wanabidii that "ALL MEN ARE THE SAME THEY JUST HAVE DIFFERENT NAMES"kwa mabinti ni muhim mkalitafakari na hili ,ili kuondoa vurugu za maono kuhusu who is the potential hub!
 
Si kweli, ingawa kuna General X'tcs.
Kuna proven distinct differences kwa kila M/mume........Malezi ni tofauti, core Belief etc....So unaposema they are Same binafsi naona si sahihi kabisaaaa. Labda ungeond=gezea unamaana gani,

Mfano......Milango yote inaweza kuwa sawa bt differ in names.....Yote Ukiifungua dhahiri inafunguka,,,But kuna Ya chuma, mbao, Alminium nk....
 
binafsi nimekutana na huo msemo ndo nkadebate if its true,nakubaliana na ww mkuu kuna tofauti na si kweli similarity exist in men
 
Mfano......Milango yote inaweza kuwa sawa bt differ in names.....Yote Ukiifungua dhahiri inafunguka,,,But kuna Ya chuma, mbao, Alminium nk....
Mingine ya kuslide, kupull na pia ipo Automatic yaani ukiusogelea tu unajifungua wenyewe
 
When a lady tells me that all men are the same, I just ask her a simple question: Have you been with all men in this world! I don't wait to hear her answer/response!😛ound:
 
Ni kamsemo ambako kapo lkn si kweli,tukiangalia gender character baadhi tutakuta hata ladies kuna wanazoshare wenyewe kwa wenyewe lkn hatuwezi kugeneralize kuwa all women are the same!the same applies to men,hakuna uhalisia.
 
hao wanaosema hivyo mara nyingi huwa walishawah kutendwa na ni point ya kujifanya hawataki wakati wanatongozwa....kumbe inreality wanataka
 
hayo ni maneno tu hata kwenye khanga yapo
 
Ni kweli haya maneno wanabidii that "ALL MEN ARE THE SAME THEY JUST HAVE DIFFERENT NAMES"kwa mabinti ni muhim mkalitafakari na hili ,ili kuondoa vurugu za maono kuhusu who is the potential hub!

kwangu mimi huu msemo ushakuwa kero sasa. Maana kla msichana sasa anautumia. Oh.... Wanaume wote mko sawa, utanichezea2 uniache.... Wiz mtupu! Kwan 2meona waschana wangapi wanawaacha wavulana/wanaume wao ili hali bado wanaume hao wangali wanawapenda sana? Bas mabinti wa aina hii tuwafananishe na nani? Tuwafananshe na wanaume au nawanawake wenzao? Kma tunawafananisha na wanawake, basi "WANAWAKE WOTE WANAFANANA ILA WANATOFAUTIANA TU MAJINA" Kwamantiki hyo bas mapenz dunian siku hizi ni ulaghai na hatupaswi kulaumiana si wanaume si wanawake.
 
Ni kauli ya kakata tamaa tu,
Hata wanaume utawasikia "mademu ndio walivyo hao"
 
Generalizing such a statement needs a sample of atleast 30 men who were given a questionaire with questions that seek to unvail certain truth on different aspect of their lives.
My take: Kuna aliyefanya research hiyo?
 
Ni kweli haya maneno wanabidii that "ALL MEN ARE THE SAME THEY JUST HAVE DIFFERENT NAMES"kwa mabinti ni muhim mkalitafakari na hili ,ili kuondoa vurugu za maono kuhusu who is the potential hub!
It depends on your definition of the word SAME. If u say men are the same you have to specify. They are the same in which catergory. My self i think what girls says is just generalisation.
 
mie mwenyewe huo msemo huwa unaniudhi sana, inafikia stage huwa nikimsikia msichana anasema hivyo, namuuliza je ni sawa kusema all women are ******?
(with the exception ya my wife,mama n bibiz)
 
Mume wangu hafananishwi na chochote, wanaodeclaire kwamba waume wote ni sawa sidhani kama wako sahihi. Ukikuta wanawake wanaoongea hivyo ni wale MANUNGAYEMBE hawana waume kazi yao ni kuwinda waume wa wenzano na kujiuza at CHEAP PRICE.

Kama ni nyumba ndogo, you should expect kudanganywa, kufanywa chomba cha starehe, haja ndogo. Unakuta eti pressure imepanda wa sababu mume wa mwenzako ambaye ni buzi lako hajafika. Jamani wanawake tunatofautiana sana, akili zetu huwa zinarudi nyuma kama saa ya mkoloni.
 
wako sawa ajili wana "JOY STICK "
vitu vingine vyote ni shanghalabagala
 
Back
Top Bottom