Safety last
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 4,236
- 1,411
Si kweli, ingawa kuna General X'tcs.
Kuna proven distinct differences kwa kila M/mume........Malezi ni tofauti, core Belief etc....So unaposema they are Same binafsi naona si sahihi kabisaaaa. Labda ungeond=gezea unamaana gani,
Mfano......Milango yote inaweza kuwa sawa bt differ in names.....Yote Ukiifungua dhahiri inafunguka,,,But kuna Ya chuma, mbao, Alminium nk....
Mingine ya kuslide, kupull na pia ipo Automatic yaani ukiusogelea tu unajifungua wenyeweMfano......Milango yote inaweza kuwa sawa bt differ in names.....Yote Ukiifungua dhahiri inafunguka,,,But kuna Ya chuma, mbao, Alminium nk....
Ni kweli haya maneno wanabidii that "ALL MEN ARE THE SAME THEY JUST HAVE DIFFERENT NAMES"kwa mabinti ni muhim mkalitafakari na hili ,ili kuondoa vurugu za maono kuhusu who is the potential hub!
It depends on your definition of the word SAME. If u say men are the same you have to specify. They are the same in which catergory. My self i think what girls says is just generalisation.Ni kweli haya maneno wanabidii that "ALL MEN ARE THE SAME THEY JUST HAVE DIFFERENT NAMES"kwa mabinti ni muhim mkalitafakari na hili ,ili kuondoa vurugu za maono kuhusu who is the potential hub!
Unataka kusema Mzee Mwanakijiji na Malaria Sugu wako sawa?