All My Teams Are Champions

All My Teams Are Champions

Mario Kejob

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2020
Posts
441
Reaction score
536
Natoa pongezi Kwa timu zangu tatu kwa kuwa mabingwa msimu huu 20/21. Timu hizo ni:
  • Man. City------EPL.
  • Atletico---------La Liga.
  • Simba------------VPL.( UTO hawapindui meza).

SIMBA SPORTS CLUB....UBINGWA UENDELEE.
 
simba hureee ,Liverpool mwaka huu tiamaji tiamaji ,Dah
 
Natoa pongezi Kwa timu zangu tatu kwa kuwa mabingwa msimu huu 20/21. Timu hizo ni:
-Man. City------EPL.
-Atletico---------La Liga.
-Simba------------VPL.( UTO hawapindui meza).
SIMBA SPORTS CLUB....UBINGWA UENDELEE.
Cityzen

Come on
 
Barcelona
Chelsea
Simba
Sijutii kuzipenda timu hizi , ila Simba na Chelsea huwa zinanipa wakati mgumu sana maana huwa zinacheza siku moja sana sana
Man cty 6 chelsea 1
As Vita 5 Simba 0
2021 Chelsea 0 leicester 1 FA
2021 Kaizer chief 4 Simba 0
Hayo ni maumivu yanayopatikana kwa siku moja
 
Mimi hapo ni simba na atletico madrid tu...

Arsenal ishajifia kifo cha mende.
Jana nmefurahi sana mkuu..... Cholo Simeone ameleta furaha tena.
E2AqE8GXoAMTc2b.jpg
 
Back
Top Bottom