SOFTWARE All PDF Reader

robbyl

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2013
Posts
423
Reaction score
424
App inakuwezesha kusoma PDF faili na pia ina nyenzo nyingi za PDF za bila malipo ambazo zinafanya kazi bila kutumia intaneti
Unaweza kufanya yafuatayo
  1. Kupunguza ukubwa wa faili la PDF (Compress PDF)
  2. Kungeza namba za Kurasa (Add page numbers)
  3. Kuunganisha PDF tofauti na kuwa faili moja la pdf (Merge /combine pdf files)
  4. Kutengeneza PDF kutoka katika picha (PDF from photos)
  5. Kupanga kurasa za PDF (Organise pages) na mengine mengi

App hii inapatikana Play Store. Ingia na tafuta "All PDf"

 
Vyote hivyo vinafanyika bila kutumia internet mkuu ??
 
Sawa. Ngoja nikaipakue kushuhudia, maana kuna moja ipo inaitwa I love pdf ndiyo ninayo penda sana kutumia ila kila kitu lazima uwe na internet.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…