Wengi sana wana opt kulipiza kisasi kwa kumegwa nje, kwanza anaweza kwenda kwa nduguyo ama rafikiyo ama driver wako ama garden boy ama shamba boy, anything.....they just become confused when they go wild!!!!!
Dada Vera, it takes two to TANGO; inakuwaje shutuma ziwe kwa mtongozaji tu na mtongozwaji asilaumiwe pia!! Wanaume hujaribiwa sana kwa hao wahusika kuvaa vimini huku wakionesha mapaja na makalio yao na hapo ndipo zip huanza kucheza!!
Naam huwa wanasawazisha goli na mchezo huwa sare...baada ya kusema sana bila mafanikio yoyote.
Mkuu pongezi umejituma sana kwenye hii post hongera, mchango wako noted!Duh, mzee naona umeamka!!! staftahi tayari na ijumaa hii??
Mkuu pongezi umejituma sana kwenye hii post hongera, mchango wako noted!
Duh, mzee naona umeamka!!! staftahi tayari na ijumaa hii??
Yeah kwakweli mkuu kajitahidi sana kuelimisha jamii lakini swali je utakubali ule maharagwe kila siku? Kisamvu hakuna? Nyanya chungu je?
Ha ha ha ha, hali ya ugonjwa ni mbaya inabidi tuwe wadogo kidogo.
Yeah kwakweli mkuu kajitahidi sana kuelimisha jamii lakini swali je utakubali ule maharagwe kila siku? Kisamvu hakuna? Nyanya chungu je?
Kindly share the maximum prohited degree I could go...is it 15, 30, 35 90 etc. ingawa staha ni kitu cha lazima sana maana haya mambo ya siku hizi haya ya kutembea mpaka na watoto wa kuwazaa wenyewe yananipa kizunguzungu kulikoni
It doesnt go like that Mkuu
.
Hilo ndo sharti la kuolewa kumbe? na kama nishaolewa je?Upo tayari kula ndondo kula siku wewe? mm kama upo tayari nakuoa.
Ila kweli kuna baadhi ya wanaume wamezidi, yeye kila mwanamke anayemuona mbele yake lazima atongoze. Haijalishi kama mwanafunzi, house girl au secretary wake. Mbaya zaidi kwa wale waliooa,sijui ndio hawaridhiki na wake zao au kuwa MBU/MBA.
...astaghafirullah, astaghafirullah, astaghafirullah...
yamekuwa hayo tena? 🙁
ama wanyonge hatuna haki!
Hahah hahah!! Sio wewe, MBU.........Married But Unhappy.
hahahaha yeah ndo hapo mkuu kikubwa ni radha tofauti tofauti,
Vera naamini staha iko kotekote... Ukiacha vibinti vya bar, na videnti(aka sidanganyki) hao wengine wote naona kama wanaelewa wazi aina ya mwanaume wanaejihusisha nae!
Ni kwa nini na nyie pia mnakubali kubali tu hata kama mtu ni MBA??? Si umtose ili ajue hana lake..!!!