All The Women In UR Life - Jamani Hamchoki nyie??

 

Lakini dada unajuwa (elewa )kila binadamu ameumbwa au amejaliwa na fantasi zake ?kuwa na mke au mume haimanishi kuwa zile fantasi zako ndio zimekwisha, zitaendelea kuwapo na bila ya kuwa na fantasi maisha kwa binadamu yangekuwa ni magumu sana ,na ndio baadhi yetu hupenda ku espiriansi hizo fantasi na inawezekana mke au muwe hana hizo fantasi unazozihisi lakini kwa mtu wa mbali ndiko ulikoziona hizo fantasi zako.
 

Babylon

Hayo ndio maisha yetu ya kila siku... Kuna upande mmoja huwa unamaisha ya kinamna yake kutokana na tulivyoumbwa na mazingir ayanayotuzunguka

Tafuta kitabu cha "Men are for Mars and Women are from Venus" upate uhali wa kimtazamo

Kuyaondoa mawazo yaliyo biaised you can read Steven Covey series za seven habits na eight habit

MTM
 
wenyewe wanasema wajibu wa mwanaume ni kuangalia chochote kinachopita na wajibu wa mwanamke ni kuaongalia watoto nyumbani, lakini kikubwa ni tamaa tu za mwili ila jamani wanaume wenzangu slow down please tutaisha na ngoma
 
wenyewe wanasema wajibu wa mwanaume ni kuangalia chochote kinachopita na wajibu wa mwanamke ni kuaongalia watoto nyumbani, lakini kikubwa ni tamaa tu za mwili ila jamani wanaume wenzangu slow down please tutaisha na ngoma

Wenyewe wakina nani?

Hizi ni sweeping statements aisee za kutuweka pabaya wanaume!!! Yaani mie niwe mazagazaga halafu mama yeye awe housegirl?

Hiyo nayo Duh... We furaha unatafuta bifu na wanaharakati humu😕
 

Ndoa za siku hizi mradi migogoro mitupu kila upande!
Inakuwaje lakini?
 
Ndoa za siku hizi mradi migogoro mitupu kila upande!
Inakuwaje lakini?

ndoa ni institution sahihi mikononi mwa wabangaizaji. matamanio ndo yamezidi, wanaume wanatamani figaz na receptionz na wanwake wanatamani michuziz. unaweza kusema ndoa ni etworks za mataminioz na jealazez
 

hakuna anayefanya haya na kuyakamilisha kama atakavyo. dadaangu umezidisha chumvi, tena ile ya mawe!
 
BN
Kila kitu kiwe kwa kiasi ndugu yangu.Hata kama ni kujikwaa basi angalia usiangukie pabaya ukabaki na majeraha ya kukupa kilema cha maisha.Kujikwaa nako si kuanguka... unajikwaa unastuka na kuwa makini zaidi huku ukiendelea na safari.

daaah! una akili wewe? niPM tafadhali
 
daaah! una akili wewe? niPM tafadhali

Tehe tehe tehe! JF wakianzisha mradi wa kupata shilingi 10 tu ya Tanzania kwa kila PM wala watakuwa hawahitaji michango ya kuendesha hii saiti!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…