Allan Lucky of "Skongaaa" got Married.

Allan Lucky of "Skongaaa" got Married.

Apollo

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2011
Posts
4,920
Reaction score
3,240
WEDNESDAY, FEBRUARY 29, 2012

Allan Lucky of "Skongaaa" got Married to Haika Samwel





The two love birds making their vows to each other...

And there came the moment...

Allan and Haika exchanged rings to form one family...


The family and friends witnesses to this beautiful union!!

Dont they just look amazing!! I love the colors..yellow and white look superb!!

Aaaaaw!! my mouth waters!! thats a good looking cake!! I hope my part is still in your fridge,Allan!
And now...you can kiss the bride!! Ladies and gentlemen, i bring Mr. and Mrs. Allan Lucky Komba!! I wish you guys the best of luck in your new life... Stay blessed always!!​



 
Wife wake kifaa,many congrats,huo ni moja ya mtihani wa maisha,mbona kama Mchaga(kifaa).
 
Mungu awabariki katika Maisha yao mapya ya Ndoa. Hongera zao.
 
Kumbe dogo mtu mzima eenh! Mi huwa namuona kakaa kiSkonga skonga kama kipindi chake!

Hongereni familia mpya..
 
Mimi nawaonea huruma, Hiyo tarehe 29 FEB, watakuwa wanasheherekea siku yao ya harusi sio kila mwaka, kuna miaka hawatasheherekea maana mara nyingi mwisho ni tarehe 28.
 
Ya ndo naona ile mumependezeana na ndizi ipo kwa pembeni ikisimamia ndo nasema tre bien
 
Hivi, hiyo ni ndoa ya kidini kweli?
 
maarusi naona kama wote ni wanawake......................
 
Back
Top Bottom