Allan Lucky wa Skonga

Jamal naeem

Member
Joined
Jan 10, 2014
Posts
72
Reaction score
20
Habari zenu wanajamii,

Huyu kijana wa kuitwa Allan lucky alikuwa anafanya kazi EATV lakini kwa sasa jamaa kavuka boda anafanya kazi Kenya.

Kuna hichi kipindi cha Skonga EATV yeye ndiye alikuwa mpango mzima. Lakini toka jamaa asepa zake na hichi kipindi chake naona kimesepa siku hizi hakina mvuto wala msisimko hata sikielewi siku hizi cjuwi nyny wenzangu mnakiona vipi?

Maana nina wiki kama 4 hivi zijakiaangalia au tayari kishapata tiba maana naona kipo ICU kama Elimu yetu.
 
bado kipindi kiko vizuri.. tena saivi wanafunzi ndo wanakiendesha wenyewe which is good.
 
He was so good! Kenya kaenda kufanya nn? Funguka best!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…