Meja Jenerali Isamuhyo
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 3,709
- 10,896
Napigilia msumari hoja yako. Dogo ukimweka na loose Nut namchukua loose Nut.Tukubaliane kutokukubaliana, huyu jamaa wakuitwa Okello hana tofauti yoyote na Geofrey Bahati Mwashiuya.
Hype kubwa nje ya uwanja thenn uwezo mdogo ndani ya uwanja.
Mimi nilishangaa mchezaji mwenye uwezo aje kucheza Tanzania badala ya kwenda hata South Africa huko.
😂😂😂😂😂😂Tukubaliane kutokukubaliana, huyu jamaa wakuitwa Okello hana tofauti yoyote na Geofrey Bahati Mwashiuya.
Hype kubwa nje ya uwanja thenn uwezo mdogo ndani ya uwanja.
Mimi nilishangaa mchezaji mwenye uwezo aje kucheza Tanzania badala ya kwenda hata South Africa huko.
😂😂😂😂😂New ditram nchimbi in utopwenga
Unasumbuliwa na wivuTukubaliane kutokukubaliana, huyu jamaa wakuitwa Okello hana tofauti yoyote na Geofrey Bahati Mwashiuya.
Hype kubwa nje ya uwanja thenn uwezo mdogo ndani ya uwanja.
Mimi nilishangaa mchezaji mwenye uwezo aje kucheza Tanzania badala ya kwenda hata South Africa huko.
Wewe nae kama malaya huna msimamo si ushajutoa kwenye mpiraJana Dogo alikuwa nje kabisa ya Mchezo.
Wakina Raphael wanamtetea wanasema Uwezo wake hadi awe kwenye No 10.
Mumpe muda wewe na naani?😂Bado mapema. Kwanza ni mgeni. Tumpe muda
Sawa mama la mamaUnasumbuliwa na wivu
Anaejua anajua tuu hahitaji muda wala mdaBado mapema. Kwanza ni mgeni. Tumpe muda
Walimu wako wa niniWaganda nawaheshimu sanaa ni walimu wangu kwahili siwasemi utopwenga
Wewe bodaboda si ulijitoa kwenye ushabiki wa mpira?Jana Dogo alikuwa nje kabisa ya Mchezo.
Wakina Raphael wanamtetea wanasema Uwezo wake hadi awe kwenye No 10.
Tukubaliane kutokukubaliana, huyu jamaa wakuitwa Okello hana tofauti yoyote na Geofrey Bahati Mwashiuya.
Hype kubwa nje ya uwanja thenn uwezo mdogo ndani ya uwanja.
Mimi nilishangaa mchezaji mwenye uwezo aje kucheza Tanzania badala ya kwenda hata South Africa huko.
Wewe kalia majungu umri unaenda, ushamba wako unadhani mtu kufanya kazi nje lazima awe exceptional,Sawa mama la mama
Sawa mama la mama
Kweli, Apewe muda ajifunze kucheza mpiraBado mapema. Kwanza ni mgeni. Tumpe muda
Hadi leo?