Allergy ya maziwa

amkawewe

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2011
Posts
2,021
Reaction score
528
Jamani msaada, ninapenda sana maziwa ya ng'ombe lakini nikinywa uso unatoka vipele.
Kama kuna mtu anafahamu tiba
 
matibabu ya allergy ni kukwepa vipi hivyo vinavyosababisha . hivyo usinywe hayo maziwa. tumia labda soya milk!!
 
 
 
Hi Pole sana
Kwa lugha rahisi, allergy ni pale ambapo mwili unatambua kitu ulichokula au kuvuta au kupaka kama kigeni na chenye madhara, hivyo unaita majeshi yake ili kukitoa kile kitu mwilini. Unapohisi kuwa umepata allergy la kwanza ni kuweza kutambua kitu chenyewe. lapili ni kutumia dawa za kupunguza dalili zake (antihistamins au anti prostaglandins). ukicha kukutana na hicho kitu kwa muda mrefu mwili unaweka ukasahau. Hivyo nakushauri kama una hakika ni maziwa, basi yaache kwa muda kama mwaka mmoja. kama utaamua kuanza basi utumie kiasi kidogo uanagalie reaction.
 
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…