Salam wakuu
Nini maana ya allergy ndani ya mwili? Nini kinasababisha allergy? Kuna kipimo kinaweza kuonyesha ni kitu/chakula gani mtu hatakiwi kula? Na jee inapona? Mdogo wangu anatatizo kaenda hospital nyingi hapa Dar ila majibu yao ni kama yanatofautiana