DANIEL MWITA
Senior Member
- Sep 16, 2012
- 118
- 42
Yan mkuu kweli tunatofautina yan mimi nyeupe ndo ugonjwa wangu hata nliyoagiza nineagiza nyeupeKwa macho gari kaliiii..BUT nshajisemeaga GARI NYEUPE zinipitie mbali aseee hiii rangi no way(kwamimi) BUT kiberiti kimenyooka hichooooo😍...
kaka ukiridhia 7 nitafuteBei: 9m
Location Dodoma
Nauza kwavile nimeagiza gari nyingine hivyo natafuta hela ya kumalizia Ushuru
Mawasiliano 0752140001, 0715140001
Ha ha haKwa macho gari kaliiii..BUT nshajisemeaga GARI NYEUPE zinipitie mbali aseee hiii rangi no way(kwamimi) BUT kiberiti kimenyooka hichooooo😍...