juvenile davis
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,752
- 4,467
Kwa sisi tunaojua muziki tunaelewa ila kwa wale die hard fans hii kitu hawawezi kuielewa,kwanza hiyo habari ya alli kiba kusainiwa sony mi sioni kama ni ngeni maana kumbuka kipindi wamefanya ngoma na R kerry lakini cha maana hakuna,nabhata huo wimbo wake mpya wa "waje" ni mbaya sana na hauna mvuto kabisa,,na huyu ben pol ndio kwa heli kabisa maana hiyo ngoma yake mpya ya moyo mashine nayi ni mbovu kupita maelezo,ila tu kwa kuwa wameshatengeneza majina basi zitashika chat tu
NB: pamoja na ubaya wa nyimbo hizo mashabiki wasiojua miziki watasifia tu
Moyo Mashine ni bonge la ngoma Benpol katisha sana.

Ajabu!! Mwanaume kukashifu wimbo wa mwanaume mwezako huku wewe hata kutunga wimbo japo wa kumsifu wife wako huwezi.
Kwa sisi tunaojua muziki tunaelewa ila kwa wale die hard fans hii kitu hawawezi kuielewa,kwanza hiyo habari ya alli kiba kusainiwa sony mi sioni kama ni ngeni maana kumbuka kipindi wamefanya ngoma na R kerry lakini cha maana hakuna,nabhata huo wimbo wake mpya wa "waje" ni mbaya sana na hauna mvuto kabisa,,na huyu ben pol ndio kwa heli kabisa maana hiyo ngoma yake mpya ya moyo mashine nayi ni mbovu kupita maelezo,ila tu kwa kuwa wameshatengeneza majina basi zitashika chat tu
NB: pamoja na ubaya wa nyimbo hizo mashabiki wasiojua miziki watasifia tu
Kwa sisi tunaojua muziki tunaelewa ila kwa wale die hard fans hii kitu hawawezi kuielewa,kwanza hiyo habari ya alli kiba kusainiwa sony mi sioni kama ni ngeni maana kumbuka kipindi wamefanya ngoma na R kerry lakini cha maana hakuna,nabhata huo wimbo wake mpya wa "waje" ni mbaya sana na hauna mvuto kabisa,,na huyu ben pol ndio kwa heli kabisa maana hiyo ngoma yake mpya ya moyo mashine nayi ni mbovu kupita maelezo,ila tu kwa kuwa wameshatengeneza majina basi zitashika chat tu
NB: pamoja na ubaya wa nyimbo hizo mashabiki wasiojua miziki watasifia tu
HahaaaaaaKweli viroba ukinywa na uyoga lazima ubongo wako ubaki ndi ndi ndi, Kwanza andiko lako linaonesha ni jinsi gn mziki hujui wewe, "waje" ndio wimbo gani? Kwanza umpata wapi mamlaka ya kumsema vibaya msani w Kimataifa Alikba aliye label moja na chris brown?
Hahaaaaaa
Umepotea sana mkuu.
Roho mbaya humfanya mtu aishi maisha mafupi.Kwa sisi tunaojua muziki tunaelewa ila kwa wale die hard fans hii kitu hawawezi kuielewa,kwanza hiyo habari ya alli kiba kusainiwa sony mi sioni kama ni ngeni maana kumbuka kipindi wamefanya ngoma na R kerry lakini cha maana hakuna,nabhata huo wimbo wake mpya wa "waje" ni mbaya sana na hauna mvuto kabisa,,na huyu ben pol ndio kwa heli kabisa maana hiyo ngoma yake mpya ya moyo mashine nayi ni mbovu kupita maelezo,ila tu kwa kuwa wameshatengeneza majina basi zitashika chat tu