huko kwenu vipi
JF-Expert Member
- Jun 4, 2015
- 1,520
- 1,462
Leo Mechi ya Alliance Vs Simba Sc itakayonguruma Katika uwanja wa CCM-Kirumba majira ya saa kumi jioni,
Kwenye mechi hii tutegemee nini?
Je Simba SC itatoka na ushindi?
Je hawa watoto wa umiseta wataishangaza Tanzania leo kwa kuifunga Simba SC( Timu iliyotka kucheza klabu bingwa Africa hadi hatua ya robot finally)??
Kama Simba watacheza kama walivyocheza Mechi dhidi ya Kagera Sugar kwann hawa watoto wasitoke na Ushindi pale Kirumba?
Kumbuka hawa watoto wameweka kambi ya siku tano(5) Nchi jirani ya Kenya bila shaka wamekuja na Mabadiliko makubwa hakuna timu iliyowahi kwenda Nje ya Nchi kujiandaa na mechi dhidi ya timu Fulani siyo Simba,Adam,Yanga wala Mtibwa isipokuwa Alliance tu,
Simba sawa ni timu kubwa lakin muingie kwa tahadhari kwenye mpira hakuna udogo wala ukubwa mkifungwa itakuwa aibu hili jiji halitokalika,
Simba ametoka kujeruhiwa na Kagera Sukari.....
Kila la heri Simba,
Ushindi ni lazima
...