Uchaguzi 2020 Ally Bananga atia nia ubunge Arusha mjini - CHADEMA

Bananga rudisha pesa zetu. Ulitudanganya unakubalika ndani ya CHADEMA kumbe wizi mtupu. Halafu kwanini hupendi kuridhika? Mkeo ni makamu mwenyekiti BAWACHA pia ni mbunge viti maalum mkoa wa TABORA ila bado unawasaliti. wewe mtu ni hatari sana.
 
Bananga ndio anaweza kubadili upepo wa siasa za Arusha, Lema hatoboi Arusha tena, hii ni penda usipende ....rudi kwenye uzi huu November utaniambia, Bananga atabadili upepo wote na itabidi CCM wajitafakari upya lakini kwa Lema dawa wanayo ...
Unaamini Bananga angebadili upepo kwasababu ana urafiki na ma CCM, ndivyo mlivyomuahidi kwenye vikao vyenu vya bia?!
 
Ninamjua vema Ali Bananga Mwatiga.....

Ninaujua VYEMA UWEZO WAKE KUNTU.....

Ninaufahamu ushawishi wake juu ya wanaArusha...nenda pale SOMBETINI watakwambia......

Ally Bananga Mwatiga akiwa mratibu wa CCM STAMINAZ ya kina JAMES OLE MILLYA,na kina Julius Kalanga walisumbuana Sana na ndugu yetu mkuu wa mkoa aliyeondolewa Kaka Mrisho Gambo.....

Ilikuwa minyukano hasa.....huku GAMBO akiwa na mama yetu Mary CHATANDA KIPINDI Cha ukatibu wake wa CCM ARUSHA.........

Ikiwa Gambo atapitishwa na CCM na Mtunduizi Ally Bananga Mwatiga akimshinda Lema.....hakika ni MPAMBANO HEAVY WEIGHT.....

MPAMBANO WA KARNE......
 
Ama kweli wewe ni mwanafunzi wa siasa za Arusha, Lema na Bananga lao moja!
 
Bananga rudisha pesa zetu. Ulitudanganya unakubalika ndani ya CHADEMA kumbe wizi mtupu. Halafu kwanini hupendi kuridhika? Mkeo ni makamu mwenyekiti BAWACHA pia ni mbunge viti maalum mkoa wa TABORA ila bado unawasaliti. wewe mtu ni hatari sana.
Duh!

Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
 
Jumla ya kura 203. Lema 181, Bananga 22. Endelea kuota.

Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
 
Karibu mjini!
 
CHADEMA hatuna Shida
Sio kama Jiwe asiyetaka kuwa challenged kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…