Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Wakuu,
CCM wananikumbusha mwaka jana ambapo Democrats walikuwa wanamtetea Biden kwamba hana shida yoyote na hali yake ya kiafya iko vizuri.
Walidanganya watu wee siku ya debate ikafika, Biden akapigwa katafunua moja na Trump, political career ya Biden ikaishia hapo!
Sijui nilitaka niseme lakini nadhani mawazo ya mzee Wassira yaheshimiwe. Apewe tu hiyo debate aliyokuwa anaitaka na Lissu na iwe live kwenye media zote Tanzania.
Haya mambo ya kuongea kwenye hotuba ambazo zimeandikwa hatutaki.
Mawazo ya mzee wetu yaheshimiwe. Apewe debate na Lissu
=====================================
Akiongea hivi karibuni kwenye kipindi cha Morning Trumpet, Binamu Bananga alisema:
"Wanaosema Makamo mwenyekiti alikuwa anasinzia wanapaswa wafahamu ya kwamba hakuna dhambi ya mtu akisinzia sehemu yoyote ile,kila mtu anasinzia hata ukiwa kwenye daladala watu wanasinzia sasa kuna dhambi gani kwa wengine wakisinzia"