Ally Choki alazwa Bugando, hali tete


Yes kuna watu wanaleta dhihaka. Lakini HAPANA. PRINCIPLE NI MOJA..KUWA MUAMUNIFU AU TUMIA KINGA. KWA KILA MTU. Why should we allow this DISEASE to defeat US????? Kwa sababu ya tamaa za kijinga?? Na tusiache kulionea aibu. Huu uzi ni njia mojawapo ya kufanya SENSITIZATION.
 
Genye si kitu cha mchezo mkuu...kama ulivyosema labda hanithi or demu awe hana K

Na ukiendekeza nayo inaweza kukupeleka pabaya..halafu utakuta mtu mwingine anapenda sana ila kutumia japo kinga tunayoiamini hataki.
 
Na ukiendekeza nayo inaweza kukupeleka pabaya..halafu utakuta mtu mwingine anapenda sana ila kutumia japo kinga tunayoiamini hataki.
Hilo ndo la muhimu....condom ni maisha ukicheza pale umekwisha!
 
Sijui kwanini only in Tz mtu akiumwa cha kwanza watu huwaza ni 'Ngoma'.... ajabu wengine hufurahi kabisa na 'nilijua' kibaoooo.

Ni ukosefu wa elimu au chuki iliyopitiliza?

Sent from Jamii Forums using siemens kidole juu.
Hao hao waambie wakapime usikie majibu utashangaa
 
Shauri yako
 
Anaweza kuwa Franco Luambo Makiadi "SIDA" Ilimkata Franco 1989 mwanzoni na kumuondoa mwishoni, na ulikuja Africa 1985
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…