Ally Hapi: Heche ni mwanasiasa mwenye hasira muda wote na muongo sana

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Yan sasa hivi CCM ndo kimekuwa chama cha upinzani na CDM ni chama tawala...Yani sasa hivi CCM wakisimama majukwaani asilimia 90 ni kuiongelea CDM na asilimia 10 ni kumuongelea Mama Yani hii inasikitisha sana Hadi wanasahau kuongelea ilani zao za kile kipindi cha kampeni zao za maigizo kipindi cha uchaguzi
 
Bora hasira za Heche kuliko za wana ccm wanaoteka, wanaotesa, wanaobaka, wanaofira, wanaoua wenye mawazo mbadala.

Ni bora uongo wa Heche kuliko hadaa, ufisadi na uporaji unaofanywa na wana ccm kwa zaidi ya miaka 60 sasa.
 
Kwa yanayoendelea nchini lazima mtu mpenda haki upate hasira. Haiwezekani watu wanauawa na kutekwa in broad day light halafu uwe na furaha, labda uwe hauko sawa kihisia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…