LGE2024 Ally Hapi: Msiwape dhamana watu waliochanganyikiwa, hamtapata chochote

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ally Hapi, amewataka viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuacha kulalamika na badala yake kuelekeza nguvu zao katika kuwasilisha na kueleza ajenda za maendeleo kwa wananchi.

Hapi alitoa kauli hiyo katika mkutano wa wa uzinduzi wa kampeni za chama cha Mapinduzi CCM uliofanyika Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba huku akisisitiza umuhimu wa siasa za hoja zenye tija kwa maendeleo ya taifa, na kusema kuwa malalamiko ya mara kwa mara hayaleti manufaa yoyote kwa wananchi kwani wananchi hawahitaji kusikia porojo wanataka maendeleo

Hapi aliongeza kuwa badala ya kuendelea kulalamika, vyama vya upinzani vinapaswa kuonyesha mfano kwa kueleza mipango na mikakati yao ya kuleta maendeleo kwa jamii.

Soma, Pia:
 
Ukitaka kujua ccm ni chama mfu kinachotegemea dola ni chama kisicho na sera sikiliza hotuba za kampeni ni matusi,vijembe na kejeli kwa cdm .mwanzo mwisho
 
hawana sera wanaropoka tu kwa sababu wanauhakika wa tamisemi na polisi kushinda
 
Wazee wa vijembe masimango nk mnachosha mboga mboga
 
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ally Hapi, amewataka viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuacha kulalamika na badala yake kuelekeza nguvu zao katika kuwasilisha na kueleza ajenda za maendeleo kwa wananchi.

Hapi alitoa kauli hiyo katika mkutano wa wa uzinduzi wa kampeni za chama cha Mapinduzi CCM uliofanyika Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba huku akisisitiza umuhimu wa siasa za hoja zenye tija kwa maendeleo ya taifa, na kusema kuwa malalamiko ya mara kwa mara hayaleti manufaa yoyote kwa wananchi kwani wananchi hawahitaji kusikia porojo wanataka maendeleo

Hapi aliongeza kuwa badala ya kuendelea kulalamika, vyama vya upinzani vinapaswa kuonyesha mfano kwa kueleza mipango na mikakati yao ya kuleta maendeleo kwa jamii.
Soma, Pia:
Kameanza kuropoka tena! Kweli tabia haina dawa.
 
Huyu kachanganyikiwa nini?....kwanza anaongea kuhusu uchaguzi gani?...kwani tarehe 27 kuna uchaguzi au takataka?...kwa upumbavu uliofanyika nani akakae juani....nchi kituko sana hii...
JPM aliharibu sana 2020.......Pole sana Tanzania 🇹🇿...
 
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ally Hapi, amewataka viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuacha kulalamika na badala yake kuelekeza nguvu zao katika kuwasilisha na kueleza ajenda za maendeleo kwa wananchi.

Hapi alitoa kauli hiyo katika mkutano wa wa uzinduzi wa kampeni za chama cha Mapinduzi CCM uliofanyika Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba huku akisisitiza umuhimu wa siasa za hoja zenye tija kwa maendeleo ya taifa, na kusema kuwa malalamiko ya mara kwa mara hayaleti manufaa yoyote kwa wananchi kwani wananchi hawahitaji kusikia porojo wanataka maendeleo

Hapi aliongeza kuwa badala ya kuendelea kulalamika, vyama vya upinzani vinapaswa kuonyesha mfano kwa kueleza mipango na mikakati yao ya kuleta maendeleo kwa jamii.
Soma, Pia:
Je wanao jizima data?, yaani wanaoahirisha kufikiri kizalendo, (nyumbu wa kisiasa)
 
Halafu huyo aliyechanganyikiwa anaogopwa na aliye timamu. Anacheza formation ya kupaki bus; 8-1-1
 
Ta Byabato amejiandaa kuachia ubunge? Maana namuona chief akiapishwa pale Bungeni
 
Awe Anatuletea na Mapilipili kwenye mikutano Tukatafunie na Vijiugali Majumbani mwetu baada ya Mikutano Yake.
 
Back
Top Bottom