Sijapewa username bado
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,775
- 2,891
Na yeye ni kati ya hao watu wachache walioharibu hii nchi.Katibu Mkuu Umoja wa wazazi Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi Ndg. Ally Hapi amewasisitiza Vijana kutoka TK Movement kuwa imara na kuepukana na wale wote wenye nia mbaya na Nchi ya Tanzania hivyo amewasisitiza vijana kushiriki Uchaguzi Mkuu unaotegemea kufanyika hivi karibuni.
View attachment 3324181
stupid burger, yeye ni mmojawapo wa wanaoharibu nchi, pumbavu maviKatibu Mkuu Umoja wa wazazi Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi Ndg. Ally Hapi amewasisitiza Vijana kutoka TK Movement kuwa imara na kuepukana na wale wote wenye nia mbaya na Nchi ya Tanzania hivyo amewasisitiza vijana kushiriki Uchaguzi Mkuu unaotegemea kufanyika hivi karibuni.
View attachment 3324181
Ni kashetani tupustupid burger, yeye ni mmojawapo wa wanaoharibu nchi, pumbavu mavi
Anawashwa washwa naonaKatibu Mkuu Umoja wa wazazi Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi Ndg. Ally Hapi amewasisitiza Vijana kutoka TK Movement kuwa imara na kuepukana na wale wote wenye nia mbaya na Nchi ya Tanzania hivyo amewasisitiza vijana kushiriki Uchaguzi Mkuu unaotegemea kufanyika hivi karibuni.
View attachment 3324181
Sio kuwa hawajui umhimu wa Uchaguzi huru na wa haki.Kuna kitu kinaficha.Kutaka Tume huru ili uchaguzi uwe wa haki ni kuharibu nchi?....
Huyu nae kachanganyikiwa...
Hivi hajui kuwa hiyo Tume huru itawasaidia hata wagombea wazuri kutoka CCM?...
Mwanao kakuomba soksi mpya tangu 1992!Katibu Mkuu Umoja wa wazazi Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi Ndg. Ally Hapi amewasisitiza Vijana kutoka TK Movement kuwa imara na kuepukana na wale wote wenye nia mbaya na Nchi ya Tanzania hivyo amewasisitiza vijana kushiriki Uchaguzi Mkuu unaotegemea kufanyika hivi karibuni.
View attachment 3324181