Pre GE2025 Ally Happi anampigia kampeni Lengai Ole Sabaya Kwa kujifanya anamkandia Mbowe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Siasa ni Sayansi

Acha wale vijana wenye ngozi ngumu waliojengwa kikamilifu na CCM wote warejee Uongozini tayari kwa 2025

CCM inawahitaji zaidi Vijana aina ya Lengai siyo hawa Lege lege mrenda akina Lucas 😂😂

Baadae Mlale Unono
 
Zitapigwa this time miye ninatoka hai hakuna kitu mtafanya tena! Ile you caught us in surprise! tumejiandaa kujeni muone
 
Siasa ni Sayansi

Acha wale vijana wenye ngozi ngumu waliojengwa kikamilifu na CCM wote warejee Uongozini tayari kwa 2025

CCM inawahitaji zaidi Vijana aina ya Lengai siyo hawa Lege lege mrenda akina Lucas 😂😂

Baadae Mlale Unono
Mnataka kutengeneza taifa la magaidi, majambazi na mashetani wenye maruhani
 
Back
Top Bottom