Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Inawezekana kabisa unapitia kipindi kigumu cha Kihisia, kijamii ,Kisiasa !!
Inawezekana kabisa katika kipindi hiki , mawazo mengi ,mashauri mengi yanakupata ,huenda unasukumwa Kuomba msamaha ?!!! Uombe wa Msamaha Kwa Kosa gani?.
Kwamba Wale wazee , ambao Sasa ndio wameshika Mpini ,unalazimika kwenda kujinyenyekeza ? Wale wazee ambao Walisikika waziwazi kumponda Hayati JPM ? Wale wazee ambao shughuli zao zote za Kisiasa zimejaa Katika kuyatizama matumbo Yao?.
Ninani angeshughulika nao kama sio Vijana ?. Kama sio wewe , ninani angesimama kumwambia "Katika hili mnamkosea sana Mh JPM"
Watanzania wanajua Hayati JPM alipigana Vita na Maadui wa Nje, na Maadui wa Ndani !.
Ally Happi, wee ni Kiongozi, wee ni kijana ambaye Damu yako imejazwa uongozi, na Uongozi wako sio wa Kutafuta kushibisha matumbo yako Bali kuyashibisha matumbo ya Watanzania .
Uongozi wako ,ni uongozi ulojaa HEKIMA, BUSARA, UADILIFU ,MAONO ... Kama Kijana ambaye ni zao la Hayati JPM, utabakia kua Moja ya Vijana ambao ni Tunu Kwa Taifa hili.
Usiwaze, Usiumie, usitafute kujipendekeza , usitafute kufit mahali ambapo Kwa Sasa haufiti.
Watanzania Wanajua, wee ni Kiongozi ulotolewa Uongozini Kwa Sababu ya maamuzi yako wakati ule wa JPM, ndiooo maamuzi yako ,kauli ZAKO na matendo yako yalikua Sahihi !!!! Hujamkosea mtu !!!!
Usibadilike kuwafaa, usitizame tumbo lako tu, tazama Watanzania, Fikiria Juu ya Heshima yako, Fikiria Juu ya Historia yako !!
Hayati JPM, hakuupata URAIS Kwa kujipendekeza, hakuupata URAIS Kwa kua sehem ya Ufisadi .
Tunza Afya yako, Ongeza Maarifa yako , Jifunze mengine usoyajua .
Kwa kuwa muda sahihi , Tutapata uongozi Tena uleule ambao Utaenda kulinda Masilahi ya Taifa letu na Mtanzania Mmoja Mmoja,. Haipingiki kwamba ,Nawe ni Mmoja ya Vijana waloamriwa kushika Nafasi kubwa za Kiongozi Ndani ya Taifa letu !!
Jambo Moja kwako Lilo na UHAKIKA kabisa ni kwamba, Mungu atoae Mamlaka , amekuandalia Nafasi Sahihi, katika Muda sahihi kwakua wewe nimtu sahihi !!
Binafsi Sina shaka Kwa Hilo !!.Wenye Akili tunakuelewa !!.