Ally Kamwe aandaa Dufu na Mashehe kwenda kuchukua Mke wa Mwijaku

Ally Kamwe aandaa Dufu na Mashehe kwenda kuchukua Mke wa Mwijaku

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Msafara mrefu wa Magari ukiwa umesheheni Mashehe na Wapiga Dufu umeanza safari Kuelekea nyumbani kwa Mwijaku ili Kumchukua Mke wake kama alivyoahidi yeye Mwenyewe.

Mashehe wengi wameonekana na Mikeka na Chetezo kwa ajili ya kuwekea Ubani.

Usiondoke JF kwa Taarifa Zaidi

Screenshot_2024-08-09-14-35-39-1.png
Screenshot_2024-08-09-14-36-07-1.png

======

Wazee waingilia kati kumsihi Ally Kamwe amsamehe Mwijaku

Screenshot_2024-08-09-16-41-04-1.png
Screenshot_2024-08-09-16-40-53-1.png
 
Msafara mrefu wa Magari ukiwa umesheheni Mashehe na Wapiga Dufu umeanza safari Kuelekea nyumbani kwa Mwijaku ili Kumchukua Mke wake kama alivyoahidi yeye Mwenyewe.

Mashehe wengi wameonekana na Mikeka na Chetezo kwa ajili ya kuwekea Ubani.

Usiondoke JF kwa Taarifa Zaidi
Hizi nyuzii sio za hadhi yakooo🤣🤣🤣
 
Tatizo aly naye msosi wa jioni labda kama anaenda kuongeza stock ya mwamba.....hers
 
Mpaka muda huu ni maandalizi ya ndoa, kama ni comedy tutajua baadaye
Mke anauma Wewe halafu yale ni masikhara ya kunogesha mpira tu, Sio mara ya kwanza haya mambo Mario Balotel aliwaambiaga Wachezaji wa Barcelona Wakiifunga Inter Millan atawapa Mke wake walale naye kwani ilitokea??
 
Back
Top Bottom