Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Hizi nyuzii sio za hadhi yakooo๐คฃ๐คฃ๐คฃMsafara mrefu wa Magari ukiwa umesheheni Mashehe na Wapiga Dufu umeanza safari Kuelekea nyumbani kwa Mwijaku ili Kumchukua Mke wake kama alivyoahidi yeye Mwenyewe.
Mashehe wengi wameonekana na Mikeka na Chetezo kwa ajili ya kuwekea Ubani.
Usiondoke JF kwa Taarifa Zaidi
Udaku huo Balotel Mario alikuwaga na ahadi kama hizo alikuwa anazitimiza?Safi sana. Asiache kumgonga huyo mwanamke. Ubaya ubwela
Hizi nyuzii sio za hadhi yakooo๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Mpaka muda huu ni maandalizi ya ndoa, kama ni comedy tutajua baadayeComedy hizo
CCM ina wazee wengi sana na wala hawashangai vile walichokifanya kwa nchi yenu.Huyo Ally Kamwe akija kuwa mzee atajishangaa sana mambo aliyokua anayafanya.
Kama Wewe uliekuwa mfuasi wa Kayafa Fascist Jiwe nashangaa ukagoma kuzikwa nae.Huyo Ally Kamwe akija kuwa mzee atajishangaa sana mambo aliyokua anayafanya.
Tunawapiga ndani na nje ya uwanja.Vyura weshapata shughuli.
Tunawapiga ndani na nje ya uwanja.
Sawa kaka jambazi.Kama Wewe uliekuwa mfuasi wa Kayafa Fascist Jiwe nashangaa ukagoma kuzikwa nae.
Kila la heri, wakati wenu huu, koromeni tu.Tunawapiga ndani na nje ya uwanja.
Mke anauma Wewe halafu yale ni masikhara ya kunogesha mpira tu, Sio mara ya kwanza haya mambo Mario Balotel aliwaambiaga Wachezaji wa Barcelona Wakiifunga Inter Millan atawapa Mke wake walale naye kwani ilitokea??Mpaka muda huu ni maandalizi ya ndoa, kama ni comedy tutajua baadaye