Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
-
- #21
Hawa Wahuni huwa hawaumii kwa masuala ya Mke, nyumba ndogo 10 unaumiaje?Mke anauma Wewe halafu yale ni masikhara ya kunogesha mpira tu, Sio mara ya kwanza haya mambo Mario Balotel aliwaambiaga Wachezaji wa Barcelona Wakiifunga Inter Millan atawapa Mke wake walale naye kwani ilitokea??
Mwijaku hana alijualo shadows 5.5 B na Kipanya Masoud hata stress hana lakini Mashabiki ndio tunaoumia 😂😂😂Hivi Mwijaku ni dini gani?
Kama ni muislam hii nadhiri yake ni binding hakuna swala la masikhara..
Vingenevyo alete tawba na khafara za kutosha!
Hakika mkuu Erythrocyte ni I'd kubwa humu jamviniHizi nyuzii sio za hadhi yakooo🤣🤣🤣
Kuna muda tunatakiwa kusahau utekaji na kufurahi kidogoHakika mkuu Erythrocyte ni I'd kubwa humu jamvini
yes ubaya ubwelaSafi sana. Asiache kumgonga huyo mwanamke. Ubaya ubwela