"Na mimi nitumie nafasi hii kuwaomba watu wanashughulikia mitandao ya kijamii (TCRA) washughulikie taarifa kama hii, kwasababu Unapotoa taarifa kama ile huenda una vyanzo, lakini madhara ya taarifa kubwa kama ile ni makubwa kweli kweli, ule usiku wa taarifa imetoka nilienda kukesha hospitali na Bi Mkubwa kwa sababu alipata mshtuko mkubwa tukakaa nae na kumuelekeza kwamba haya mambo hayana ukweli na kama yana ukweli basi ni kawaida kwenye maisha, lakini ukweli ni kwamba imetudisturb kwenye Promotion kuelekea Mchezo huu” Amesema Ally Kamwe Meneja Habari na Mawasiliano wa Yanga Sc
Kamati ya Maadili nayo inatakiwa itoe taarifa ya kukanusha na kuwaomba TCRA wafatilie ili kubaini nani aliyesambaza habari hiyo... Kamati ya Maadili ishughulikie utovu huu wa Maadi!