Ally Kamwe hold on, kuipa mechi Dube day ni kumkwaza kocha

Ally Kamwe hold on, kuipa mechi Dube day ni kumkwaza kocha

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
Unataka kocha lazima ampange Dube acheze hata kama hayupo kwenye mpango wake. Hiyo ni sawa?
 
Acheni kukuza mambo
Kaka hatukuzi mambo ila huyu Ally Kamwe hana uwezo wa kuwa kiongozi mwandamizi wa Yanga. Kumpa dube mechi kulimdhoofisha badala ya kumuimarisha. Alikuwa akianguka mwenyewe akioba lango la adui, alijiona kama ametwishwa zigo.
 
Back
Top Bottom