kavulata JF-Expert Member Joined Aug 2, 2012 Posts 13,778 Reaction score 14,214 Nov 21, 2024 #1 Unataka kocha lazima ampange Dube acheze hata kama hayupo kwenye mpango wake. Hiyo ni sawa?
KENZY JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 32,529 Reaction score 76,691 Nov 21, 2024 #2 kavulata said: Unataka kocha lazima ampange Dube acheze hata kama hayupo kwenye mpango wake. Hiyo ni sawa? Click to expand... kwani aliletwa pale aje acheze ngoma..?
kavulata said: Unataka kocha lazima ampange Dube acheze hata kama hayupo kwenye mpango wake. Hiyo ni sawa? Click to expand... kwani aliletwa pale aje acheze ngoma..?
Gatabhanya JF-Expert Member Joined Nov 16, 2024 Posts 2,644 Reaction score 5,178 Nov 21, 2024 #3 Acheni kukuza mambo
kavulata JF-Expert Member Joined Aug 2, 2012 Posts 13,778 Reaction score 14,214 Nov 27, 2024 Thread starter #4 Gatabhanya said: Acheni kukuza mambo Click to expand... Kaka hatukuzi mambo ila huyu Ally Kamwe hana uwezo wa kuwa kiongozi mwandamizi wa Yanga. Kumpa dube mechi kulimdhoofisha badala ya kumuimarisha. Alikuwa akianguka mwenyewe akioba lango la adui, alijiona kama ametwishwa zigo.
Gatabhanya said: Acheni kukuza mambo Click to expand... Kaka hatukuzi mambo ila huyu Ally Kamwe hana uwezo wa kuwa kiongozi mwandamizi wa Yanga. Kumpa dube mechi kulimdhoofisha badala ya kumuimarisha. Alikuwa akianguka mwenyewe akioba lango la adui, alijiona kama ametwishwa zigo.