Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 3,771
- 10,311
Wako tayari kudhaminiwa.Ahmed Ally naye kajibuje hii?
Njoo ucheze na MimiHatuchezi tena na yanga
unajua kucheza ngoma za kwetu lakiniNjoo ucheze na Mimi
Kwanini asipeleke barua kwa mkewe kuomba radhi baada ya kufumaniwa analiwa 0713 kwenyd gari na kiongozi mkubwa wa AZAM mpaka.mke kamkimbia.Ameyasema hayo muda mfupi baada ya game ya Yanga vs Simba ambapo Yanga iliidungua Simba bao 2:0.
Ameongeza kuwa katika misimu minne mfululizo, Simba ndiyo timu inayo ongoza kwa kufungwa na Yanga na kwamba imefungwa zaidi ya timu zinazo dhaminiwa na GSM hivyo ni wakati wa kupokea barua ya posa toka GSM.
Ameendelea kusema kuwa barua hiyo ataipeleka yeye mwenyewe na Simba watalazimika kuipokea na kukubali ofa ili wasaidiwe katika usajili na uendeshaji wa club.
Yes,nitakaposhindwa utanifundishaunajua kucheza ngoma za kwetu lakini
Yaani mbumbumbu na matusi ni ini na nyongoKwanini asipeleke barua kwa mkewe kuomba radhi baada ya kufumaniwa analiwa 0713 kwenyd gari na kiongozi mkubwa wa AZAM mpaka.mke kamkimbia.
LocationYes,nitakaposhindwa utanifundisha