Asee hii tabia ya vivulana vya siku hizi,unaweza kukuta mtu anaonekana msomi kabisa,lakini anaamua kumdhalilisha baba yake mitandaoni.
Wewe mtoto wa kiume unanunuaje ugonvi wa mama dhidi ya baba yako?
Nimekudharau sana Ally Kamwe kumsababishia baba yako atukanwe mitandaoni kwamba alikimbia majukumu ya kukulea wakati sio kweli.
Ninyi watoto wa siku hizi,kumbukeni kuna watu sie tulipitia magumu sana kiasi unaweza kumkana baba yako lakini ukiupata ukweli unaona sio busara kugombana na baba mzazi wakati na wewe ni mwanaume.
Wanaume wanapitia mengi sana ambayo huwezi kuyasikia yakisemwa kwani wengi sio wasemaji.
Unapaswa kwenda kumuomba msamaha baba yako ili akupe radhi.
Uliwahi kumtukana Mgunda kwamba ni andazi,ulimkosea adabu lakini mzee wa watu alimwachia Mungu.
Sasa wakati huu uliamua kumsimanga baba yako wakati unakabidhi nyumba kwa mama yako!
Hivi ungefanya kimya kimya bila kumtaja baba yako ungepungukiwa nini?Kwa nini uliona umsimangie hiyo zawadi kwa mama yako?
Nenda chooni,fungua zipu,jiangalie vizuri,ukikuta maumbile ya kiume,nenda kamwombe msamaha mwanaume aliyekuleta duniani na kukulea kabla hujawa na kiburi ulichonacho sasa