Hoja broo ni kujaza uwanja,akinyamaza watu hawaji,hivyo hizo ndio mbinu za kuwajaza watu uwanjani,japo kuumizwa ni hoja ya muhimu sana,ndivyo aloumizwa skudu na okraKumsifu sana mchezaji hakuongezi wala kupunguza uwezo wake bali kuhamasisha wachezaji wenzake wamkamie. Ilikuwa hivyo kwa Makudubela sasa umeanza kwa Doumbia. Usiwaletee shida wachezaji, tutafute namna mpya ya kuvutia watu kuja viwanjani badala ya hii ya kizembe kwa wachezaji. Kama Doumbia angekuwa AI asingekuwa hapa tz.
Kumbuka pia unasikilizwa na watu wazima na watoto pia.
Mashabiki wengi Wa yanga kuwapata weka utoto mwingi wanakuja na viingirio viwe vidogo watakuja vizurituuHoja broo ni kujaza uwanja,akinyamaza watu hawaji,hivyo hizo ndio mbinu za kuwajaza watu uwanjani,japo kuumizwa ni hoja ya muhimu sana,ndivyo aloumizwa skudu na okra
Watu wanaojaa uwanjani kwa mbinu hii ni mashabiki lonyalonya, hasa kama unaamini kuwa Doumbia ni AI. Twendeni uwanjani kwakuwa Yanga/Simba ni timu yetu inayotuhitaji sisi kama wadau muhimu. Yanga waweke vivutio mbalimbali vitakavyochukua nafasi ya hadaa kama hizi. Mfano, wawe na vivutio kwa wapenda mziki, wanywaji, walaji, comedy, sarakasi, wachezaji wa zamani, nk siku ya tukio. Unaonaje siku hiyo kama wachezaji wa zamani akina Mkwasa, Lunyamila, Ngasa, Abubakari sure boy, SMS, chambua, nk ndiyo wangetumika kutambulisha wachezaji wapya siku ile? Hawa wachezaji wa zamani, wanamuziki, comedians nk kila mmoja akija na watu 10 nyuma yake lazima uwanja utafurika. Tuache mbinu hizi za kuongeza chumvi katikati ya watu wazima na watoto ambao wanahitaji kujifunza kutoka kwetu.Hoja broo ni kujaza uwanja,akinyamaza watu hawaji,hivyo hizo ndio mbinu za kuwajaza watu uwanjani,japo kuumizwa ni hoja ya muhimu sana,ndivyo aloumizwa skudu na okra
Na huyu vipiKumsifu sana mchezaji hakuongezi wala kupunguza uwezo wake bali kuhamasisha wachezaji wenzake wamkamie. Ilikuwa hivyo kwa Makudubela sasa umeanza kwa Doumbia. Usiwaletee shida wachezaji, tutafute namna mpya ya kuvutia watu kuja viwanjani badala ya hii ya kizembe kwa wachezaji. Kama Doumbia angekuwa AI asingekuwa hapa tz.
Kumbuka pia unasikilizwa na watu wazima na watoto pia.