Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Aliyekua Mbunge wa Jimbo la Nkasi Kaskazini, Ally Mohamed Keissy ametoa mtazamo wake kuhusu Wabunge wanaopata matatizo ya ngozi kutokana na kujichubua mpaka ukikutana nao hujui kama ni Mchina ama Mwarabu