Ally kiba, Barnaba, Beka(wa THT) nikiwafananisha na Diamond

Ushawahi kusikiliza vizuri nyimbo za diamond kama vile Ukimwona, Kulewa, Kamwambie na Mbagala (kutaja chache tuu) na kugundua kuwa midundo yake ina ladha ya kipekee?

I'll Pick Mbagala Tu,For My Taste....
 
Ukimsikiliza Barnaba sidhani kama kuna atakayepinga kuwa jamaa ni mwanamuziki, anajua anachofanya...ni kweli Diamond atasubiri.......nikitulia mahali nikamsikiliza dogo, kiukweli napata peace of mind.

Ila linapokuja suala la kwenda kuburudika (entertainment), kwa performance na msisimuko wa kimuziki....pesa zangu nitatumia kwenda kwa Diamond.
 
Ally k anaimba kwa hisiaa sanaa jamaa anajuaaa basii tu
 
Nakumbuka master j aliwahi sema bongo hamna wanamziki kuna waburudishaji tu kwa mfano nigeria wengi wanatumia autotune wanajua kucheza na beats ndo maana nyimbo zao zina hit wanaingiza hela nyingi kama uganda nao hivyo hivyo wakina bebe cool bongo ndo tunae daimond anajua watu wanataka nini na mzuri kwenda na beat kwa mfano nyimbo mpya na shetta diamond ndo kainogesha bila diamond ile nyimbo ingekuwa flat wenzetu majuu wanaangalia sana vocal una hit zile not kisawasawa africa unatakiwa unifanye nisimame nicheze kila nikisikia nyimbo yako uta hit tu
 
Tofauti Yao na diamond ni kwamba dogo anafanya music Kama project anahariri kazi yake anaifanyia mazoezi ya kutosha na kuu tangaza music wake ni mtu anayewekeza zaidi kwenye kazi yake anaandika mashairi yanayoshika mwanzo mwisho tofauti na wengine kuingiza mashairi dhaifu hivyo kukosa mvuto wa jumla
 
U cant be serious, they aint affiliated with hiphop.

Yeaah i know what i mean ! Fellah
It's abbreviation though can have more than a million meanings !

According to a thread intention !
My take !
I'll put

Barnaba over Diamond !
Ally kiba Over Barnaba
Ally kiba over Diamond !

Linex (linenga) over all of them !

Linex :shetani: kill Em' all and he's the best musician i ever seen in Tanzania aside Bongo Fleva genre !
 

Hayo mahaba sasa,Linex ni fundi ndio but hawapati hao wote
 

Uko sawa kabisa mkuu kwa anaejua mziki diamond hawafikii hawa jamaa ni nyota tu imewaka ila kiuwezo bado hasa ali kiba ni bonge la mwanamziki, domo haingii kwenye hivi vichwa hawa ni nomaa na kick za skendo ndo zinamfanya afatiliwe hadi kwenye nyimbo sio kwamba hawezi. Na kinachomsaidia zaidi domo ni mpiganaji
 

U nailed it hao wanaosifia Kiba barbana hayo nayo ni mapenzi yao binafsi tu ila ukija kwa kila kitu Linex real deserve it na ndo maana anadiriki kujiita VOA jamaa sio anaimba tu bali u feel it raha ya muziki uimbe huku mwenyewe ukiburudika so uimbe tu kuburudisha wengine. Kwanza ule Lekadutigite bila Linex 100% ungekuwa boring lile corus la Linenga ndo limeubeba wimbo.
 
kiba 4 real..
top in top..
the gang ta mill..
pop it in music..
single 4 real..
 
List yangu iko hivi;

1.Alikiba
2.Barnaba
3.Belle9 removed by Snipa
4.Diamond
5.Ben Pol
*6.Linex
7.Mavoko


Nyimbo gani ya Diamond ! Yakuifanananisha na Roho yangu > Rich Mavoko !
!
 


Oooooh i thought you wouldn't understand !
Am glad to hear from you!
you were already know the truth !

Waache wabishe lakini ukweli unaishi uongo unakufa !
Linex ana take over kwenye bongo fleva music industry !

Kwanza anasimama as musician tukiangalia sauti anayo imbia na anayo ongea ! Utaona ni the same !
Sio hawa wengine wanaojifanyisha fanyisha tu !

Wakibisha we Give a hand ! And show off !
 

Huyo Ali kiba anayebana pua naye ndo waseme mkali hata diamond anajitahidi kuimba mwenyewe kuliko kubana sauti.


Linex nilianza kumkubali tangu enzi namsikia kwenye chorus kama za wimbo wa Topup walio imba wakenya nadhani pamoja na producer Dunga then nikawa namsikia kwenye chorus nyingine wayback 2008 nikaanza mfatilia anaimba vizuri huyu jamaa acha tu.
 

Yaani watu wanamdis Diamond Platnumz kwa kuwa sijui kawafanyia nini kibaya! Mpeni heshima yake kwa kuwa anastahili, bila kuacha hizi roho za kwanini, Bongo tutasondikiza wakenya na wanaigeria sana! Tubadilike!
 
binafsi sijawahi kuukubali wimbo wowote wa Barnaba. style yake haibadiliki kwa kila wimbo. hakika inachosha
 
Muziki siyo sauti nzuri Nyie Kenge!
Haya tuambiane na Jose Chameleone
Pia hana sauti nzuri 🙉
 
Muziki siyo sauti nzuri Nyie Kenge!
Haya tuambiane na Jose Chameleone
Pia hana sauti nzuri


We Kenge mkubwa Chamilion anayo sauti nzuri Kenge wewe !

Afu we kenge ila una akili kama za paka kwani we hujui kama ana sauti nzuri we kenge unachanganyikiwa sikuhizi?
 
Alikiba nimeanza kumsikilza muda mrefu sana jaman anakuja barnaba mweee lakin pia kuna linex linenga ni hatari nawaelewa hao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…