Ally kiba, Barnaba, Beka(wa THT) nikiwafananisha na Diamond

Ushawahi kusikiliza vizuri nyimbo za diamond kama vile Ukimwona, Kulewa, Kamwambie na Mbagala (kutaja chache tuu) na kugundua kuwa midundo yake ina ladha ya kipekee?

Daaaah 'ukimwona'! Ule mdundo hatareeee
 

Daaah naona tafsiri ya 'mdundo' mzuri inatofautiana. Kwa sie tunaopenda kucheza diamond anatukonga sn na midundo yake
 
Ushauri

Wanaume tuandikage

Damond badala ya Dia-Mond

mana tukiandika Dia-Mond haileti picha nzuri !
 
Ninzuri lakini huwa hatukosoi namna hiyo ndugu yule anaitwa Nasibu Abduli au diamond,ayo nimaumbile ya mungu busara ITU Mike katika kukosoa
 
kasoro zao
alli kiba
uswahili mwingi na ukosefu wa tamaa ya maendeleo japo ana kila kitu kuanzia nidhamu na gud looking
2.beka
utoto mwingi na kutokujitambua japo ana kipaji kizuri lakini hajui petential yake
3.barnaba
ana kila kitu kama domo ila kakosa ubunifu tu njee ya jukwaa na ndani ya jukwaa ana story mpya zaidi ya sauti yake nzuri hajui kucheza wala hana dancer
ye ni wa hivihiv tu

diamond
ni mbunifu njee ya jukwaa na ndani ya jukwaa ana njaa ya mafanikio nidhamu na heshima kwa shabiki wake ukijumlisha na stunt kama kumnunulia marehemu gurumo gari au tetesi za kujenga msikiti anazidi kutoboa na kuwapita wenzake mpaka anatamani kuwangojelea mbele
 
Ushawahi kusikiliza vizuri nyimbo za diamond kama vile Ukimwona, Kulewa, Kamwambie na Mbagala (kutaja chache tuu) na kugundua kuwa midundo yake ina ladha ya kipekee?

kwa sehemu nimekua karibu kidogo na wahusika wakubwa wa huu muziki wa kizazi kipya...............wasanii wachache sana wana ubavy/uwezo wa ku dictate nini kisikike vipi kwenye wimbo/nyimbo zao!si kwamba hawana uhuru wa kutosha ila ni kwasababu WENGI WAO WANA UELEWA MDOGO MNO JUU YA ALA ZA MUZIKI NA KANUNI ZA UUMBAJI WAKE!wanakuja na mashairi tu labda na melodies ambazo kiukweli huwa zinakua tofauti kabisa mwishoni kazi inapotoka!

kudos to many producerz and musicians,and arrangers(si kila producer ni mtengeneza muziki and vice versa).msiwahukumu sana kwa midundo as kiukweli WENGI WAO hawaijui inavyozaliwa ispokua kwa wachache waliopata elimu ya msingi ya muziki na wanaweza walau kucheza ala mbili tatu na wana sikio la midundo mzuri na ubunifu!
 
Diamond anafanya mziki kama kazi na c kama kipaji,ana vision kubwa,amezungukwa na management kubwa sana na kila m2 ana kazi yake,Nasib angekuwa anamilikiwa na managor m1 angeshapotea kitambo mno.Kumbuka alianza kama msanii wa lebo sharobaro records na wengi waliamini alivyogombana na Bob junior ati ndio ulikuwa mwisho wake kimsiki,Kwa management alianayo si wa kupotea leo wala kesho na atatoboa zaidi ya hapo!!!!
 
Mwacheni Diamond aitwe Diamond; pamoja na propaganda za hapa na pale, dogo anaifahamu sana biashara ya muziki! Dogo anavyotufanya wabongo mazuzu; ngoma ya single girl/boy ya Ally Kiba nilitamani ingekuwa ya Diamond! Sa' ka si ufara kuwa nini!!! Yaani tupo wengi tu ambao kila ukisikia pini lenye mbolea, unatamani lingekuwa la Domo![/QUOTE]

Ha ha ha hahhahah haha haha,
umenichekesha sana mkuu
 
Wajukuu zangu wacha nifunge mjadala huu mzuri kabisa mlio uleta...kwanza kabisa kabla hujaanza kujadili nani mkali katika uimbaji ni lazima hujue ni maana ya muzikiˈ

Muziki (Music )

  • 1.
    vocal or instrumental sounds (or both) combined in such a way as to produce beauty of form, harmony, and expression of emotion.

Nafikiri mmeelewa nini maana ya muziki ingawa tafsiri ipo kwa lugha ya kimombo,sasa nafunga mjadala km ifuatavyo kiukweli kati ya hao mliowataja DIAMOND kwasasa anavikamilisha vitu vyote muhimu vinavyotakiwa kuwapo katika Music mimi siongelei ushabiki nyimbo za huyu kijana zipo katika Beauty of form,harmony and expression of emotion.
MJADALA UMEFUNGWA,NENDA KASIKILIZE
1. Kamwambie
2. Mbagala
3. Kizaizai
4. Lala salama
5. Nashindwa kuelewana
6. Binadamu
7. Ukimuona.
 
Haha ulivozitaja izo kenge mbona amekoma
We Kenge mkubwa Chamilion anayo sauti nzuri Kenge wewe !

Afu we kenge ila una akili kama za paka kwani we hujui kama ana sauti nzuri we kenge unachanganyikiwa sikuhizi?
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…