Ally Kiba kufunga Ndoa ya Kimya Kimya Mombasa

Angemuoa Zari, Diamond sikaachana nae?
 
Hapa ndo utajua muda sio kipimo cha upendo
Ukiona hivyo ujue katika muda wote huo hukumshawishi(hakuona sababu ya kutosha kufanya akuoe)
Anatokea aliyetosheleza vigezo vyake jamaa anabadilishia gia hewani bila kupoteza nukta ya sekunde.
Ndio maana kimaadili hutakiwi kumpa tamu kabla hajakuoa. Kwa sababu "a good man to a woman is who offered her marriage first and not who ask for sex first "
 
Kwa hyo kwa unavyofikir wewe huyo dada hajaonjwa bado alikiba?
 
Kwa hyo kwa unavyofikir wewe huyo dada hajaonjwa bado alikiba?
Nimeongelea kiujumla mkuu,unaweza ukawa na mtu kumbe huyo mtu amejishikiza tu kwako akisubiri mtu sahihi kwake huku wewe ukidhani kwako ndo kafika.
Kwahiyo kujua kama anakupenda mwambie nioe ndio nikupe au nitaanza kukupa utakaponioa, kama anakupenda kweli Atafanya hivyo. Ila kama alikuwa mpita njia atapotea atapotea kama upepo!
Kwahiyo kumpa hakufanyi mwanaume akupende, atakutumia hata miaka mia ataoa mwingine aishi naye mwaka mmoja akuache ukijiuguza na kujilaumu kwa muda wako.
Nikiwa na maana kuwa hata hata wewe x wako ungemwambia nioe ndio nikupe leo ungesepa bila kukugusa au angekua mume wako. Ungefanya hivyo kwa kila anayekufata angepatikana tu wakukuoa ambae ndie kakupenda kweli.
Na hivyo ndivyo ulivyofundishwa na walezi wako wa kidini na wazazi wako(huu ni mfano tu don't mind)

Swala la wao kulana au kutokulana kwao si muhimu kwetu ila kwao, ila mpaka wanaoana maana yake wamependana na wapo tayari kulana.
 
Jomoniií Nilikuwa nasubr arudiane na Joketi

Kale kaAmina cyo kazuri kama kidoti buanaa
alf mahusiano yao ya muda mfupi ivo ,uyo mkenya kampa nn Kiba hadi amuoe haraka ivo
Au tayari anakibendi?
wakenya si wanagawa kibano...... usikute ndo yamempata nyoo!
 
Ndio uone wanaume jaman mnaweza kuwa kwenye mahusiano miaka na miaka akaja kuolewa mwingine hata miezi 6 hawajafika
Zimenadikwa mbinguni ndoa zote na Mwenyezi. Kama ipo ipo tu na kama hakuna, hakuna hata ukimpa nini.
 
Joketi kwa sawa sio MTU wa kuolewa, sasa akiolewa nani atatumbuiza 2020?
Wakubwa macho kodo wanashindana kwa note, awaze lini ndoa?
Goooo kiba.
 
Joketi kwa sawa sio MTU wa kuolewa, sasa akiolewa nani atatumbuiza 2020?
Wakubwa macho kodo wanashindana kwa note, awaze lini ndoa?
Goooo kiba.
Kwahiyo kiba kafanya maamuzi sahihi
 
Wasichana wa bongo. Awana sifa za kuolewa. RWUANDA. UGANDA. KENYA. SA. Waache hivyo hivyo
 
Shunie asikudanganye mtu wanaume sio wajinga hata kidogo, wana wanawake wa kutoka nao/ kuchezea yaani walio tayari kuchezewa ka Jokate lkn mke wa kuoa ni kitu kingine kabsaa.
Uchi wa taifa utauweka ndani?
 
Jomoniií Nilikuwa nasubr arudiane na Joketi

Kale kaAmina cyo kazuri kama kidoti buanaa
alf mahusiano yao ya muda mfupi ivo ,uyo mkenya kampa nn Kiba hadi amuoe haraka ivo
Au tayari anakibendi?
Uzuri wa nje pekee sio kigezo kuolewa
 
Jomoniií Nilikuwa nasubr arudiane na Joketi

Kale kaAmina cyo kazuri kama kidoti buanaa
alf mahusiano yao ya muda mfupi ivo ,uyo mkenya kampa nn Kiba hadi amuoe haraka ivo
Au tayari anakibendi?
nimehis we ni mrembo sana jinsi ulivyoandika kwa pozi
 
Jomoniií Nilikuwa nasubr arudiane na Joketi

Kale kaAmina cyo kazuri kama kidoti buanaa
alf mahusiano yao ya muda mfupi ivo ,uyo mkenya kampa nn Kiba hadi amuoe haraka ivo
Au tayari anakibendi?
Ahahaaaah...
MTU mweusi ni MTU wa AJABU sana..!
 
Jomoniií Nilikuwa nasubr arudiane na Joketi

Kale kaAmina cyo kazuri kama kidoti buanaa
alf mahusiano yao ya muda mfupi ivo ,uyo mkenya kampa nn Kiba hadi amuoe haraka ivo
Au tayari anakibendi?
Hujui Mombasa wanatoaga nini? Joketi kashindwa masikini mngoni yule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…