Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,188
- 3,370

Ni kingkiba moja ya wasanii wa Africa waliobahatika kukutana na kufanya kazi na wasnii wanaofahamika duniani kama R.Kelly na saizi tena ni Neyo !!!wasanii wenine wengine wa Africa ni kina Davido aliiemshirikisha meek mill, Psquare waliomshirikisha rick ross...Wakati mwenzie akijipiga pini huko instagram kwa kusupport vyama vya siasa kwa sasa ali kiba yupo kikazi na msanii Neyo all the way from U.S.A, Kiba ni moja ya wasanii wachache wanoutambulisha muziki wa Tanzania kupitia wasanii wanaofahamika duniani kote, tutegemee kazi nzuri kutoka kwa king kiba na mkali wa miss independent (Neyo),