Ally Kiba na Neyo kazi kwa kwenda mbele

Singida ndio home

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
3,188
Reaction score
3,370


Ni kingkiba moja ya wasanii wa Africa waliobahatika kukutana na kufanya kazi na wasnii wanaofahamika duniani kama R.Kelly na saizi tena ni Neyo !!!wasanii wenine wengine wa Africa ni kina Davido aliiemshirikisha meek mill, Psquare waliomshirikisha rick ross...Wakati mwenzie akijipiga pini huko instagram kwa kusupport vyama vya siasa kwa sasa ali kiba yupo kikazi na msanii Neyo all the way from U.S.A, Kiba ni moja ya wasanii wachache wanoutambulisha muziki wa Tanzania kupitia wasanii wanaofahamika duniani kote, tutegemee kazi nzuri kutoka kwa king kiba na mkali wa miss independent (Neyo),
 
thread zote hapa juu ya hilo umeona hazitoshi.? Mnx..
 

Wacha dawa ziwaingie vizuri.....ghafla wamekua wapiga kampeni
 
nakumbuka kipindi kile ali kiba aliua ile kolabo ya yeye na R.KElly,,, wasanii wa nje wanaagalia vipaji ndio wanakuita,
 
kazi kazi
 

Attachments

  • 1440002523376.jpg
    100.8 KB · Views: 226
Hiv mbona watanzania tunaonekana waajabu sana lin tutakuwa werevu!!Hiv ni collabo ya king kiba yeye na Neyo peke au project ya coke studio??Mbona wasanii wa kenya nao wapo kwe hilo collabo lakin wapo kimya!!!Hii haina tofauti na ile Project ya One 8 jaman mpaka inachosha kila thread collabo ya neyo na kiba!!Sina team
 
Team Kiba wengi ni VILAZA kupitiliza...yan munamtia kiba aibu kwa promotion zenu za kishamba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…