Ally Kiba: Nalipwa Mil 8 kwa show za Bongo, na Mil 12 kwa show za nje ya Afrika

Watamkimbiza sana diamond mwaka huu lkn hawatampata kwa ukwasi alionao hatari!
 
Wivu mbaya aisee msimwonee wivu mwenzenu

Sina wivu hata kidogo na mafanikio ya mtu,ingawa huwa nayachukulia kama chalkenge kwangu,nimuonee wivu kwakipi hasa
Ninachofahamu ni kuwa hawa mastaa wetu wakipata umaarufu kidogo huwa wanatumika kama Punda kusafirisha hayo Madudu yao.
Ni suala la muda tu tutajua mengi chief.
 

Ninashangaa sana wabongo tusivokuwa makini katika reasoning eti ki alikiba kinasema kinapata mil12 kwa show nani ampe afu ni kwa kipi hasa anachokifanya had alipwe hivo kama sio kuwa punda
 
ninashangaa sana wabongo tusivokuwa makini katika reasoning eti ki alikiba kinasema kinapata mil12 kwa show nani ampe afu ni kwa kipi hasa anachokifanya had alipwe hivo kama sio kuwa punda

ww umetujibu kuwa tunamsafisha diamond wakati ww unamchafua ally kiba sasa unadhani nani atawasafisha mnaowachafua? Acha hizo bana!! Mbwiga wa clouds au!
 
ww umetujibu kuwa tunamsafisha diamond wakati ww unamchafua ally kiba sasa unadhani nani atawasafisha mnaowachafua? Acha hizo bana!! Mbwiga wa clouds au!

Shoo wanazopiga na kudai wanalipwa hayo mamilioni ni sehemu ya wao kuwa kama suppliER
 
ila kiukwel allykiba anapga show nyng sana za nje ila hajitangaz ovyo,

ajitangaze yeye au media?kama media hazioni hayo matukio/show watanagaze nini?na iatoshe kujitangaza nayo ni njia moja wapo ya kuwa karibu na mashabik zako wajue lin msanii wao anafanya nini thus y diamond mda wote yupo midomoni mwa watu
 
T.r.a! T.r.a! T.r.a! T.r.a!t.r.a! T.r.a! T.r.a! T.r.a!t.r.a! T.r.a! T.r.a! T.r.a!t.r.a! T.r.a! T.r.a! T.r.a!t.r.a! T.r.a! T.r.a! T.r.a!
 
Mi nashindwa kupata picha kuhusu show za ndani! let us say pale maisha club panaingiza watu wangapi? tickets iwe 10,000 mfano wameingia watu 1000 hiyo 10mil ya kumlipa diamond inatoka wapi! labda kwenye show za makampuni.
 
tutawajua wakifa. yule aliyeimba geto langu mbona hatukuliona siku ya msiba?
 
shahara wako kwa mwezi hauwezi ukawa moja alafu ukawa huna maendeleo yanayoonekana,sipati picha m nane za ali k na bado maendeleo yake hayaonekani mhhh!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…