Ally Kiba usikubali mshikaji wangu, wanataka kukushusha hao

DUUUUU....ALLYKIBA ..YOOO..ALLY HANA KITU PALE..ANGALIA HANA NYIMBO ZA NISAMEHE NA KAJIANDAE KAZIHARIBU
 
Kiba na Mond nan alianza muziki?...kipind hiko Kiba alikuwa anatumia kiki ya nan ili awe juu?..topic nyingine upuuz tu hahahaaaaa
 
Wrong visions ndio zinazotusababishia akina netanyahau kututukana waafrika coz hamuwezi kuongea vitu vyenye maana vyenye kuchochea upatanishi bali kuongea vitu vya kuchochea shari tu,broo wewe na mamia ya wenzio ndio mnaopata ugali kupitia hii bifu keep it up ufungue kampuni kabisa
 
Naona dimpoz na allykiba yaani wanataka kupata mashabiki kwa huruma...sympathy... Shame to you
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…