Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
N kama chadema tuu wanavyowaongelea ccm na kuacha sera zaoSi wanadi sera zao sasa, waachane na sera ya wenzao...wasimamie zao jamani haaa๐
Vyama vya upinzani vyote..adui yao ni ccm wanatakiwa waelekeze mishale yote ccm๐ na sio upinzani kusengenyana wao kwa wao....adui yao ni yule aliyeshika Dola. Kama hawaelewi wanapigana na nani?.. chadema kidogo wanatambua...adui wao mkuu ni yule aliyekabidhiwa aongoze serikali ndio maana vita zote ni wao na serikali ya ccm๐N kama chadema tuu wanavyowaongelea ccm na kuacha sera zao
Tatizo la vyama vya upinzani ukimtoa chadema wao wanataka wapate huruma ya ccm ndo mana wanapambana na chadema na sio ccm.Vyama vya upinzani vyote..adui yao ni ccm wanatakiwa waelekeze mishale yote ccm๐ na sio upinzani kusengenyana wao kwa wao....adui yao ni yule aliyeshika Dola. Kama hawaelewi wanapigana na nani?.. chadema kidogo wanatambua...adui wao mkuu ni yule aliyekabidhiwa aongoze serikali ndio maana vita zote ni wao na serikali ya ccm๐
Kweli ..Tatizo la vyama vya upinzani ukimtoa chadema wao wanataka wapate huruma ya ccm ndo mana wanapambana na chadema na sio ccm.
Sasa na chadema ndo hvy hvy, badala ya kuongelea sera zao wao wanabaki kusukuma malengo ya ccm.
2020 yule Queen Sendiga aligombea urais kupitia ADC, unadhani lengo lake n kuwa rais? Huu ukuu wa mkoa ndo lengo lake na amefanikisha hilo.
Mgombea mwenza wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha ADA-TADEA, Ally Makame, ameikosoa vikali kauli ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ya No Reforms, No Election, akidai kuwa ni jaribio la kujipa mamlaka ya kipekee kisiasa na kupotosha mwelekeo wa taifa kuelekea uchaguzi mkuu ujao.
Akizungumza katika mahojiano na Wilberforce Ngoto wa Jambo TV kupitia kipindi cha Maswali na Majibu, Makame amesema kuwa madai ya CHADEMA kwamba ni lazima kufanyike mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi kabla ya kushiriki uchaguzi ni ya kibeberu na hayana msingi wa kidemokrasia.
Makame ameeleza kuwa hali ya sasa ya kisiasa nchini ni tulivu, na kwamba uchaguzi ujao unatarajiwa kufanyika kwa amani na utulivu bila masharti ya kisiasa yasiyo ya lazima.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Akisisitiza umuhimu wa ushiriki wa vyama vyote kwenye mchakato wa uchaguzi, Makame amesema kuwa mageuzi ya kisiasa ni muhimu lakini hayawezi kuwa kisingizio cha kugomea chaguzi.