Ally Mayai Tembele anaichokoza Yanga

Mbona hata Taifa huwa Simba ndio wengi

Sent from my TECNO W2 using JamiiForums mobile app
Ujue hivi vitu usivitazame kishabiki zaidi,mimi hua nachunguza zaidi maeneo yote ninayotembelea tembelea,kuanzia mtaani,kazini na baadhi ya maeneo mengine tofauti tofauti.

Kujaza ama kutojaza viwanjani kunategemea na kiwango husika cha timu yako wakati huo na muamko uliokuepo,japo kuna takwimu za maeneo kwa maeneo.kwamfano,

Inasemekana kusini inatoa washabiki wengi wa Yanga,wanasema pia pwani ina Simba wengi,sijajua kuhusu kaskazini au magharibi bado niko kwenye kuchunguza,

Bado naamini Yanga ina mashabiki wengi zaidi.
 
Eti Yanga wamedumaa na mfumo wa zaman? Inamaana ajui Kama yanga ipo katika mabadiliko ya kimfumo wa uendeshaji?

Yanga kuiongelea Simba inaipa umaarufu, Kati ya Yanga na Simba Nani anamuongelea mwenzie?

Huyu roho inamuuma kumuona Nizar Kapata kazi ya Assistant coach na yeye kutemwa
 
Nyinyi mnaenda hadi airport kupokea wapinzani wa Simba halafu unauliza yanga na Simba nani anamwongelea mwenzake zaidi kweli Eymael hakukosea
 
Nyinyi mnaenda hadi airport kupokea wapinzani wa Simba halafu unauliza yanga na Simba nani anamwongelea mwenzake zaidi kweli Eymael hakukosea
Kwenda kuwapokea airport wapinzani wa Simba ndo kuiongelea Simba?

Vipi msemaji wenu kashaacha kukunwa na Yanga?
 
Baadhi ya yale uliyo yaandika nayaunga mkono! Hasa hili la akina Mwakalebela kuleta porojo nyingi kwenye masuala yasiyo hitaji siasa wala porojo.

Ila kwenye suala la mashabiki, naamini bado timu yetu ina mashabiki lukuki tu ndani na nje ya Nchi. Kinacho takiwa ni kwa Viongozi wa timu wakishirikiana na Wadhamini wao kuharakisa mchakato wa Mageuzi ya timu.

Naamini bado hatujachelewa. Yanga Mbele daima! Nyuma Mwiko.
 
Ww mwekezaj kawekeza nn zaid ya Kutoa pesa za posho ukisema simba ipo vizuri tupe vyanzo vyake vya mapato mfano Leo mo aseme anaondoka simba hebu tupe vyanzo vyenu ili tupime na vyetu
 
Yanga wanapenda kusifiwa tu, Hata kama ni ujinga..Wakiambiwa ukweli wanachukia. Watakuja shtuka Simba imechukua kombe klabu bingwa Africa..wao watakaa wanakifariji tu timu ya wahindi.. Klabu kubwa karibia zote duniani wameuziwa waarabu na wazungu..Watu wanajali makombe. Nyie kaeni na uzuzu wenu!
 
Mchakato upi mkuu?
Pale ni mipango tu ili GSM azidi kuifaidi Yanga kwakufanya biashara zake.
Simba ni kweli wametuzidi kwakila kitu,sisi bado tupo kwenye kufurahia mashudu wakati mafuta wanachukuwa wengine.
Yanga sasa haiandikishi wanachama....ukienda unaambiwa mpaka mchakato wa mabadiliko upite. Nugazi yupo pale kupigia domo biashara za GSM na si vinginevyo.

Yanga bado sana. Na tusipoangalia ndo tunapotea kwenye ramani ya soka mazima.
 
pia hili tatizo sana, washabiki wa yanga simba akishinda tu baasi wanaona kwao kila kitu shida
 
Iwe ni Mayai au nani hili bandiko lina mantiki Sana.

Hizi Klabu ni lazima zibadilike.

Mpira ni fedha!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…