Ally Mayay ajitokeza tena kuchukua form kugombea nafasi ya Urais TFF

denooJ

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2020
Posts
18,509
Reaction score
68,228
Natumai safari hii amejipanga vizuri baada ya kupapaswa mara ya mwisho alipogombea na Karia.

Ningewashauri hawa wanamichezo wawe na mtu mmoja watakaemuunga mkono ili kumuongezea nguvu na ushawishi, badala ya wote kugombea nafasi moja hii itampa nafasi mgombea mwenye "nguvu" zaidi kushinda kirahisi.

Au kama wanagombea ili kuzifurahisha nafsi zao basi niwatakie kila la kheri kwenye mipango yao, wazikonge vilivyo roho zao.
 
Msomali ajawai kushindwa vita,hao wote watatulia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…