DogoWaNjombe
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 3,284
- 7,708
Usitutie MajaribuniAlly Mayai alisomea shahada ya taaluma gani? Nauliza tu wakuu
Hajashindwa, kitendo cha wadau wa soka kutomu endorse Ally Mayai, kinamaanisha hakuna mbadala wa Karia, wana imani naye aendelee kuiongoza. Ila tusije kuwasikia wakuja kutulalamikia.Wallace Karia ameshashindwa kuongoza soka la Tanzania mapema sana
Siyo kwamba kakoswa kakuta zote zimechukuliwa na mtu mmoja KariaKwenda na Salamba ni kosa.Ndio maana kakosa endorsement.
Haa HaAKaria minne tenaaaaaa
Kihezo cha kuwa Raisi TFF lazima uwe na degreeUsitutie Majaribuni
Mayai Ameshindwa Tayari
ππππππKihezo cha kuwa Raisi TFF lazima uwe na degree
Baada ya kupata 0 form six akaenda CBE akaanza certificate, then diploma meisho degree ya uhasibu au uongozi wa biasharaAlly Mayai alisomea shahada ya taaluma gani? Nauliza tu wakuu