Alvajumaa JF-Expert Member Joined Jul 5, 2018 Posts 5,611 Reaction score 7,128 Jun 20, 2025 #41 watu kibao said: Karia hawezi kugombea tena, ashamaliza mihula miwili lakini ana ushahwishi mkubwa wa kupachika kiongozi anaemtaka Click to expand... Alibadili katiba yule, hivyo anaweza kugombea tena
watu kibao said: Karia hawezi kugombea tena, ashamaliza mihula miwili lakini ana ushahwishi mkubwa wa kupachika kiongozi anaemtaka Click to expand... Alibadili katiba yule, hivyo anaweza kugombea tena
Lupweko JF-Expert Member Joined Mar 26, 2009 Posts 25,186 Reaction score 27,366 Jun 20, 2025 #42 Frank Wanjiru said: Amri Kiemba kamchukulia form Ally Mayai. Click to expand... Amtafutie na wadhamini. Kiemba anafanya kazi nyepesi ambayo wengi wanaweza kuifanya, anaacha kazi ngumu ya kutafuta endorsement
Frank Wanjiru said: Amri Kiemba kamchukulia form Ally Mayai. Click to expand... Amtafutie na wadhamini. Kiemba anafanya kazi nyepesi ambayo wengi wanaweza kuifanya, anaacha kazi ngumu ya kutafuta endorsement