Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Hilo jina la mwisho ni Crispin au Cyprian?Mlinda mlango wa Simba SC Aishi Manula amejumuishwa katika kikosi cha Taifa Stars kitakachocheza mechi za kuwania kufuzu CHAN 2025 baada ya kukaa nje ya kikosi hiko tangu Machi 2024
Tanzania itaikabili Sudan ugenini Octoba 27 2024 huku mechi ya marudiano itapigwa Benjamini Mkapa Novemba 3 2024.
Kikosi hiko chenye wachezaji 24 kitakuwa chini ya kocha Bakari Shime ambaye pia ni kocha mkuu wa timu za taifa za wanawake pia kimejumuisha wachezaji 11 kutoka katika kikosi cha Tanzania U20 ‘Ngorongoro Heroes’ ambacho kimetoka kubeba ubingwa wa CECAFA juzi Dar es Salaam.
Naona kuna makosa ya kiundishi, ni Crispin NgushiHilo jina la mwisho ni Crispin au Cyprian?
😃😃Naona kuna makosa ya kiundishi, ni Crispin Ngushi
Kwangu nimeona kama ipo kwa ajili ya kuwajenga zaidi pia vijana ambao wataibeba stars pia hapo baadae bila kusahau mchanganyo wa wachezaji wazoefu hasa eneo la goalkeeping........na baadhi ya maeneoCHAN inaweza ikawa na kikosi chake tofauti na kile cha kushiriki mashindano mengine kama qualifiers za AFCON na WC
Haha 😂Kwangu nimeona kama ipo kwa ajili ya kuwajenga zaidi pia vijana ambao wataibeba stars pia hapo baadae bila kusahau mchanganyo wa wachezaji wazoefu hasa eneo la goalkeeping........na baadhi ya maeneo
So sitashangaa kwenye afcon qualifier akaitwa kama kawaida.,...
Au ngoja nianzishe Uzi....kwamba
Mudathir Yahya
Kibu Denis
Bakari nondo
Ibra Bacca
Tshabalala
Dickson job
WATEMWA STARS.....
Au ngoja nianzishe Uzi....kwamba
Mudathir Yahya
Kibu Denis
Bakari nondo
Ibra Bacca
Tshabalala
Dickson job
WATEMWA STARS.....