Allys Star Bus nawapongeza kwa kuanzisha safari ya Mwanza - Mbeya

Allys Star Bus nawapongeza kwa kuanzisha safari ya Mwanza - Mbeya

Am For Real

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2023
Posts
323
Reaction score
770
Sina mengi ya kusema zaidi ya kutoa pongezi Kwa kampuni yenu.Mmeleta mapinduzi makubwa

1. Kwanza gari Luxury kabla tulikuwa na kampuni zenye magari Ordinary Class tu.

2. Uhakika wa safari kufika mapema sio swala la kujadiliana Tena.Maana maintainance ya magari yenu ipo levo za juu.

TUNAWAKARIBISHA SANA NYANDA ZA JUU KUSINI.
View attachment 3150255View attachment 3150256
 
Wazingatie Sheria za usalama barabarani kwani mabasi ya kampuni hii yamehusika na ajali nyingi za barabarani.
 
Mwanza - Mbeya kupitia Dodoma ama Tabora?
GbpBouUa0AARsjg.jpeg
 
Allys anakimbia sana route ya mwanza dar, premier ndo mwamba wa mbeya mwanza via dodoma.
Kama allys atatua mbeya route itanoga, japo ni long safari kwa gari zake.
 
Back
Top Bottom