Am For Real
JF-Expert Member
- Nov 21, 2023
- 323
- 770
Mwanza - Mbeya kupitia Dodoma ama Tabora?
Mbeya via Tabora ni karibu au nahisi wanakipande kirefu cha rough road na si lazima wapite itigi singida auMwanza - Mbeya kupitia Dodoma ama Tabora?
Premier na Mbeya City magari yaliyochoka ndio wanaleta Mbeya-MwanzaAllys anakimbia sana route ya mwanza dar, premier ndo mwamba wa mbeya mwanza via dodoma.
Kama allys atatua mbeya route itanoga, japo ni long safari kwa gari zake.