Hahaha yani asifanane na baba yake aje afanane na mimiAtazaa mtoto anafanana na wewe [emoji23][emoji23][emoji23]
Hapana hata simjuiUtakuwa umewahi kumla sio bure.
Sasa ndo hadi fujoMsamehe bure wajawazito wengi huchukia harufu hasa perfume
Ningemrudisha kwao ucku huo huo ndio maana washikaj weng wake wakipata mimba wanawakimbiza kwao nishajia sababuKuna jamaa mmoja mke wake alikua mjamzito ,Kuna siku mida ya Tano usiku wakiwa wameshalala yule mama mjamzito akamuamsha Mme wake kuwa aende akamtafutie size bites za muhogo ambazo ukizila zinalia kwaar ( Makwaru), yule mama alisitiza kinoma hadi jamaa ikabidi atoke .
Jamaa alitoka kuenda kuzitafuta ,ila maduka mengi yalikua yameshafungwa ,jamaa alijitahidi kutafuta lakini hakufanikiwa . Baada ya kuchoka kutafuta akakutana na jamaa mmoja akumuelekeza kwa msela flani alikua anauza na duka lipo nyumbani kwake ,Ikabidi jamaa awahi.
Alipofika duka lilikua limefungwa ,ilimbidi amgongee muuza duka nyumbani kwake . Alipofu gua jamaa alifoka sana kwamba anamsumbua usiku akiwa amepumzika ,ila jamaa hakujali .Jama akafungua duka akampatia yule msela ayo mazaga ,jamaa akakimbikia kwake.
Alipofika Mkewe alikua anamsubiri . Akayatoa yale mazaga akamkabizi mkewe. Mkewe akampa tena jamaa halsfu akamumbia ayafungue ,jamaa akayafungu kama alivyoagizwa .Baada ya kuyafungua yule Mama akumuambia mmewe mi nataka uyale hayo makwaru nataka tu kusikia jinsi yanavyotoa ile sauti ya Kwaaru , Jamaa alikaribia Kuzima.
Halafu huyo atakaye zaliwa anaanza kumzingua mama yake "oohoo ungechelewa ninge kuzaa wewe!".Mungu utusamehe maana hatujaweza kulipa fadhira kwa mama zetu.Kuna mama mmoja hapa kitaani yeye ni mjamzito sasa huwaga kila nikipita lazima anisimamishe, siku ya kwanza nimepita akanisimamisha akaniuliza unatumia deodorant gani basi pasipo shari mimi kwa upole na unyenyekevu nikamjibu baada ya hapo basi nikapita zangu kushoto nikaendelea na mwendo.
siku ya pili nikapita tena akanisimamisha nikasimama kumsikiliza anataka kunambia nini akaja kwa kasi sana akanambia hataki kuniona nikipita mazingira yale, nikamuuliza kwanini hataki nipite wakati ile ni njia na kila mtu anapita, akanambia hapendi kusikia harufu ya deodorant yangu, nikamsikiliza tu mwishowe sikumjibu kitu nikaondoka zangu.
sasa jana jioni napita maeneo yale akanijia kwa lengo la kunivamia huku uso akiwa ameukunja kwa hasira huku ananambia si nilikuambia sitaki upite maeneo haya, hutaki kunisikiliza hivyo utanisikiliza kwa vitendo leo akaokota jiti kutaka kunipiga nalo, hakika nilitahamaki kwani ni tukio ambalo sikutarajia kama lingeweza kutokea, nikawa namtuliza akawa hanisikii basi nikajawa na hasira sana nikamkamata shingo kwa hasira huku namwambia ukiendelea na vurugu zako basi nakunyofoa shingo hii.
Bahati mzuri lile eneo lilikuwa karibu na kwao wakaja watu na ndugu zake pale basi wakasuluhisha huku wakinambia kuwa huyu mtu ndo alivyo akiwa na mimba anafanyaga vitu vya ajabu. Wakanambia muda mwingine hata muda wa kula anachukua sahani yake anakwenda kukaa mlango wa chooni ndo anakula yaani anapenda kusikia ile harufu ya mavi. Kwakweli nilinyong'onyea kusikia vile kwa maana wangechelewa kidogo tu sijui ingekuwa inaongeleka kitu gani sasa.
using JamiiForums mobile app
Aah huo ni usumbufu sasa! Ningempa mikonzi. Mbona kuna wanaotulia tu na ujauzito wao hadi wanajifungua! Hasa wanafunzi ama wale waliopatia ujauzito nyumbani mwao!utamsumbua nani🤔Kuna jamaa mmoja mke wake alikua mjamzito ,Kuna siku mida ya Tano usiku wakiwa wameshalala yule mama mjamzito akamuamsha Mme wake kuwa aende akamtafutie size bites za muhogo ambazo ukizila zinalia kwaar ( Makwaru), yule mama alisitiza kinoma hadi jamaa ikabidi atoke .
Jamaa alitoka kuenda kuzitafuta ,ila maduka mengi yalikua yameshafungwa ,jamaa alijitahidi kutafuta lakini hakufanikiwa . Baada ya kuchoka kutafuta akakutana na jamaa mmoja akumuelekeza kwa msela flani alikua anauza na duka lipo nyumbani kwake ,Ikabidi jamaa awahi.
Alipofika duka lilikua limefungwa ,ilimbidi amgongee muuza duka nyumbani kwake . Alipofu gua jamaa alifoka sana kwamba anamsumbua usiku akiwa amepumzika ,ila jamaa hakujali .Jama akafungua duka akampatia yule msela ayo mazaga ,jamaa akakimbikia kwake.
Alipofika Mkewe alikua anamsubiri . Akayatoa yale mazaga akamkabizi mkewe. Mkewe akampa tena jamaa halsfu akamumbia ayafungue ,jamaa akayafungu kama alivyoagizwa .Baada ya kuyafungua yule Mama akumuambia mmewe mi nataka uyale hayo makwaru nataka tu kusikia jinsi yanavyotoa ile sauti ya Kwaaru , Jamaa alikaribia Kuzima.
Yaani mwanafunzi afu ujishaue ivo 😆 humtakii mema asee,Aah huo ni usumbufu sasa! Ningempa mikonzi. Mbona kuna wanaotulia tu na ujauzito wao hadi wanajifungua! Hasa wanafunzi ama wale waliopatia ujauzito nyumbani mwao!utamsumbua nani🤔
Basi ndiyo ujue kuwa mtu anaweza kujicontrol bana ila basi tu mapuuza sababu kampata mtu wa kumdekea! Kumuasha mtu akakununulie usiku hivo afu anarudi unamwambia ale yeye usikilize sauti dah😀😀Yaani mwanafunzi afu ujishaue ivo 😆 humtakii mema asee,
Na huyo aliezalia nyumbani wa kumdekeza ivo yuko wapi!!
Harufu ya mavi anaiona kama harufu ya samaki au bagaEbu tuongee io ya kupenda kusikia harufu ya mavi maana inafikirisha
Umeona aiseeYani mimba aweke mtu mwingine, alaf fujo wafanyiwe wapita njia.
Sijui dogo beira boy alipotelea wapiMkuu unashusha nyuzi kama dogo mmoja alikuwa anaitwa beira boy au Nanyupu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Atazaa mtoto anafanana na wewe [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna jamaa mmoja mke wake alikua mjamzito ,Kuna siku mida ya Tano usiku wakiwa wameshalala yule mama mjamzito akamuamsha Mme wake kuwa aende akamtafutie size bites za muhogo ambazo ukizila zinalia kwaar ( Makwaru), yule mama alisitiza kinoma hadi jamaa ikabidi atoke .